Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Kama ni kweli, basi hakutakuwa na jipya. Tutakuwa tunaendelea kushuhudia uhayawani wa watawala.

Hayo huwa yanatokea wakati waovu na wavunjaji wa sheria na katiba wanapopewa kazi ya kusimamia utiifu wa sheria na katiba.
Wapuuzi hawa. Wanachofanya Watawala na Polisi ni Uhayawani wa kujivua nguo na kuinama ili tuone ni nani kati yao una uwazi mkubwa
 
Hao badala ya kufanya siasa wamegeuka kua wanaharakati wakudandia matukio na kuchonganisha serikali na raia, sisi upinzani hatujui siasa,....tumeshindwa kujenga grassroot ofisi za chama na kufungua matawi kwa kuuza philosophy za chama tunatafuta umaharufu kupitia matukio mbali mbali.
Kuna haja ya kupata chama cha siasa ambacho kinaweza kujenga sera mbadala ya chama tawala sio kupunga kila jambo bila kuonyesha mbadala wake, Lissu amakua mwanaharakati sio mwana siasa tena bora angefungua NGO ya kutetea hakati zake, kama ni mazingira au haki za binaadamu ili ajulikane iko wapi.
Una elimu gani!?
 
Hujakutana na vijana wa UDOSO mkuu au kwasababu akili za kuandika hawana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja namjua... Uchawa ulimfikisha ofisi ya Makamu wa rais. Sasa hivi ni Administrative Officer. Famasiala nini 😂👍🏾🙌🏾
 
Ndo maana waliofeli form four ndo walijiunga Upolisi.Nyerere alikuwa na agenja kwa kweli.Imagine waliofeli ndo walikwenda Kusomea upolisi na ualimu. Nyerere hivi ulijua utaishi milele hadi kutuharibu namna hii ,kufanya ujinga uwe kizazi baada ya kizazi.
Ualimu ngazi ipi waliofeli wanasomea?
 
Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
Kumbe kwenda ngorongoro kufanya siasa ni jinai? Sasa huyo mbunge wao alifanyia siasa kwenye matako ya baba ako au. Stupid you idiot
 
Zipo taarifa kwamba mh lissu kakamatwa, huu ni uonevu ,tutaonewa mpaka lini, tumechoka na unyanyasaji
Itisha kikao cha dharula cha kamati kuu,

Toeni tamko kwa nchi nzima tujue tufanye nini inatosha

Thanks
Key board woriazi ....sa watz tutafanya nini sisi 😁 labda tuwaombe wanawake wa Irani huko waje kutusaidia, sisi vita yetu ni kwenye key boards
 
Kwenye nchi za watu weusi inataka moyo wa chuma kutetea raia wake ambao kimsingi hata hawaelewi haki zao na faida ya mwanaharakati kama tundu lissu, freeman Aikaeli, John pambalu, twaha mwaipaya na wengine wengi.. Itafika wakati mapinduzi yafanywe na wachache tu tukitegemea watanzania waandamane kudai haki hapo hatutaweza

Kifuatacho ni Chama kuandaa mbinu kabambe za kukabiliana na ccm pasipo nguvu ya umma maana umma wenyewe hawana meno ndio maana serikali inajitafunia nchi inavyotaka.. Tundu lissu inabidi ajuwe kuwa hao anaowatetea ndohaohao wakishapewa ardhi ya ngorongoro watamshukuru Samia Kwa kuwaacha waendelee kuishi ndani ya hifadhi kuliko lissu aliepambana kuwatetea
Umeongea point kubwa sana...
 
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.

Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.

UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni

  1. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
  2. Walinzi wote wa Tundu Lissu
  3. Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
  4. Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
  5. Suzan Kiwanga na
  6. Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).

Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu

View attachment 2744826

====

Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.

Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.

Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.

Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.

Wanampa CV, ujinga tu.
 
Kukichwa kutapambazuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom