Naamini kuwa , na ninajua kuwa kabla sijafikisha miaka 50 tutakuwa tushaongozwa na jeshi ., kwangu itakuwa furaha na hakika nitaingia kwenye system kama kiongozi mkubwa .

Nimeandika leo tarehe 10/09/2023 naomba nikumbushwe siku ikifika .

Weekend hii nipo nakunywa supu baada ya purukushani za usiku , sasa wewe nichukulie serious nikung'oe meno

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Na mnakaribisha wamekezaji na royal tour juu hii nchi aisee kwanini waseweke mfumo wa kidikteta kama north korea tujue moja tu
 
Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
 
Una umri Gani?
 
Nakubali sana kiongozi sana! Usinisahau kwenye Cabinet hata kacheo uchwara, siku nitakufata na kukunong'oneza "MIMI NDO HOHEHAHE, YULE MSELA MAVI KULE JF!..." NAKUPA TANO UNANIPA TEUZI, TUNAONGOZA NCHI KWA MISINGI NA TARATIBU πŸ˜…πŸ‘πŸΎ
 

Hiyo ndiyo faida yake, anashindwa kuachana na siasa akaishi na familia yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…