Kama ni kweli, basi hakutakuwa na jipya. Tutakuwa tunaendelea kushuhudia uhayawani wa watawala.

Hayo huwa yanatokea wakati waovu na wavunjaji wa sheria na katiba wanapopewa kazi ya kusimamia utiifu wa sheria na katiba.
Kichwa kikioza na mkia unaoza. Tukikate kichwa nchi itapona.

Gabon, Mali, Burkina Faso na Niger tunaomba uzoefu wenu
 
Walitaka kumtoa roho na hao ndo wanamkamata siasa ya bongo hii imelaaniwa polisi walaaniwe hao na vizazi vyao
 
Kwa Nini wasimtandike lisasi tena? Maana lengo lake ni kuleta taharaki nchini akijua yeye ana pa kukimbilia.
Vipi tukupatie Bunduki ukampige mwenzetu?

Kuna mambo ukiyaandika mtandaoni kwa sehemu kubwa yanaakisi uwezo wako wa kufikiri.

Kwanini usitafute Majibu kutokana na hoja zake then ukampatia ili anyamaze.

Sasa mnakosa majibu yakumpa ndiyo mnataka kutumia Risasi kujaribu kumnyamazisha.

Vipi wakiibuka wengine wenye mtazamo kama wake nao mtawatandika Risasi?

Grow up nigga
 
Activists and politicians serve different roles in society.

Activists are individuals or groups who advocate for specific social, political, or environmental changes. They often use protests, advocacy, and public awareness campaigns to raise issues and pressure those in power to make changes.

Politicians are individuals elected or appointed to public office who work within established political systems to create and enforce laws and policies. They often engage in negotiations, compromise, and legislative processes to achieve their goals.

Kwa hilo Tudu Lisu amesha kua activist sio mwana siasa tena, kuna haja ya Chadema kurevist kazi zao.
 
Hakuna aliebora kunako sheriazetu tii sheria bilashurut
 
Sasa cha ajabu una miaka 18 mpaka ufike hamsini ni miaka 32 ijayo
 
Kumbe kwenda ngorongoro kufanya siasa ni jinai? Sasa huyo mbunge wao alifanyia siasa kwenye matako ya baba ako au. Stupid you idiot
Watu kama wewe ndiyo mnaendelea kutuchafua CHADEMA...angalia mfano kauli zako...hizi kauli makamanda tuachane nazo kwa bahati mbaya tunazifanya mpaka majukwaani kuonyesha jinsi tulivyokosa malezi. Ngorongoro kuna sehemu ni hifadhi na sehemu zisizo hifadhi. Kata ambazo nje ya hifadhi tumeruhusiwa kwenda mbona
 
Kutoka nchi ya kuigwa kwa uhuru wa kufanya siasa...[emoji736]

Hadi kuwa namba 1 kwa kamatakamata ya wapinzani..[emoji3574]

UHURU UWE NA MIPAKA .


UKIPEWA UHURU KUWA NA ADABU/NIZAMU.


UHURU WA KUJIELEZA ISIWE SABABU YA KUFANYA UCHOCHEZI/CHONGANISHI.
 
Ukiachilia Mbali na UKAMANDA "UCHADEMA" Ambao nina 100% huwezi kuwa nayo kingine ambacho huna na unekosa ni Utu na nahisi wewe sio binadamu ila ni roboti WAMASAI WAPO ngorongoro kabla ya babu yako kuwepo duniani na imekuwa hivyo hata Kwa upande wa wenzetu wakenya Sasa jiulize kwanini kenya wasiwafukuze katika Hifadi hizo ila Twanzania tuwafukuze
 
Chukua point 3 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…