SAMIA: Total failure
 
Maridhiano yalikwama?
 
Kwani kipi kinafichwa ngorongoro? Serikali sasa inaamua kuchochea fujo inasahau kwamba watu wanafikia mwisho wa uvumilivu. Na pia wanampiga paka huku wamejifungia nae chumbani! Chonde KWA serikali watanzania ni wapole sana ila msiombe siku wakapata mass hysteria hamtakula nchi KWA raha ! Mnakula na kipofu msimshike mkono. Msiwafundishe watanzania kuwa rebels magufuli alishaanza kuwapanda watanzania kichwani Mungu akaingilia Kati Mama akaja kuliponya taifa sasa mama usipotoshwe na washauri wabaya kamba itakatikia kwako. Magufuli tulimuonya humu akashupaza yaliyobaki ni historia. Mama hatukuonyi tunakushauri kwakuwa tunakupenda. Mungu akubariki na uweze kutambua maono yanayolipekeka taifa kubaya.
 
sio hisi
Inawezekana tetesi zikawa sahihi.. Geshi letu la polisi.. wana endeshwa na hisia na kuacha maadili ya kazi pembeni
a maelekezo..wakuu wa jeshi wanahofia nafasi zao maana zinateuliwa na mwanasiasa....wapaohisi wanaweza kumfurahisha mteuzi wanafanya chochote kitu ila ukiachana na njaa ya ubongo na madaraka hao ni watu na wanainchi walipigwa na kupigika kabisa
 
Tundu Lissu mtu mweusi...

Tanzania ni ya weusi....

Sisi weusi hatutaki uliberali wa watu weupe....

#Kidumu CCM[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubiri kifuatacho kwa taarifa rasmi!
 
Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
Kwani kwenda ngorongoro ni kuvunja sheria za nchi? Au za mwarabu?
 
Au ngorongoro ni kambi ya jeshi kwamba ame trespass?
 
Kamanda ata kuandika ujui kabisa!!
Hapa tunaongelea facts...Wamasai waliokuwepo miaka hiyo yote idadi yao na sasa ni tofauti sana. Hivi katika akili zenu sijui mnasomea nini? Ujui kua ongezeko la watu ni hatari kwa hifadhi? Hapo Ngongoro kuna Mmasai anaemiliki ardhi au nyumba ya kisasa?
Serikali ingewaondoa bila kua na alternative ilo lingeeleweka...kila familia inayo hamishwa inapewa nyuma na hati ya ardhi.....you can even figure this out?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…