Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Hao jamaa hawana adabu kabisa walithubutu kumzomea bwana magufuli 2015 hadi mzee wetu sauti ikamkauka.
Soweto pale Mbeya walifunga barabara walimzomea Magufuli pia nenda kawaulize hata Leo Kama watarudia lile kosa.wengi wanajutia kile kitendo na waliapa kutorudia na wengi wamerudi CCM

Soweto ndio palikuwa ngome ya wahuni wazomea Magufuli wakiwemo raia wahamiaji haramu wanaokaa eneo like ambao si wazawa wa Mbeya na sio watanzania

Sugu genge lake aliweka mizizi yake ya wahuni Soweto
 
haya mafuriko yalifuata sera na mgombea hakukonga nyoyo. ila safari hii mmekutana na jitu lenye hasira kama mnyama Simba
 
Wewe ni muongo 50 percent ya watanzania kwa sasa wanaishi mijini na hiyo no sense ya mwaka 2012


Mwaka huu wanaweza kuwa kama 65 percent.
Sio Kweli nenda kasome upya Chukulia mikoa ya tabora,shinyanga,mwanza , Geita,Kagera Ruvuma,Arusha yenye population kubwa kuliko mikoa yote Tanzania chukua takwimu zake uone
 
Kuna mtanzania alishawahi jaza nyomi mpaka na kujisaidia ila aliambulia patupu. Mzoee tu kuwa rais kwa sasa Dkt Magufuli anatosha kinoma.
CCM jiandaeni tu tu kuwa kambi rasmi ya upinzani
 
kuna dalili zote CCM tutapoteza huu uchaguzi.

I blame it entirely on the idiotic and clueless MATAGA.

ona sasa, chama chetu kinaenda kuwa kama KANU na UNIP.... MATAGA hovyo kabisa!!
Na huo ndo ukweli wenyewe ndugu!!
 
Ni haki yako kujipa moyo. Ni vizuri muda huu mkautumia kufikiri ni kwa jinsi gani CCM kitakuwa Chama pinzani makini
 
Yaani mayala analysis yako lowassa Mzee aliyechoka, mgonjwa hawezi kuhutubia hata dakika mbili unamfananisha na lissu??? Kweli??
 
kuna dalili zote CCM tutapoteza huu uchaguzi.

I blame it entirely on the idiotic and clueless MATAGA.

ona sasa, chama chetu kinaenda kuwa kama KANU na UNIP.... MATAGA hovyo kabisa!!
In your dreams
 
Kuna mtanzania alishawahi jaza nyomi mpaka na kujisaidia ila aliambulia patupu. Mzoee tu kuwa rais kwa sasa Dkt Magufuli anatosha kinoma.
Siku zote siyo J3 acha kukariri, usiyempenda kaja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…