Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Mpumbavu na mjinga wa kiwango cha kimataifa!
Hizi shule za kata zimezalisha wajinga badala ya werevu,
Sera? Unajua sera ww?
Kampeni zimeanza?
Hizo sera zimenadiwa wapi?
Jaribu kuwa na akili hata ya kuvukia barabara pumbavu ww
Machoko kama huyo ndiyo wanapendwa n ccm
 
Ongezea pia,mtangaza matokeo atayatoa kadiri ya kura zilivyopigwa? Naona jamaa zetu washaisahau tume yetu.
 
Huwezi kukubali. Si umepigwa chini Kawe??

Kwani Tukienda ktk details uchaguzi wa mwaka 2015 magu alishinda?? Tuyaache hayo 2020 october 28.
 
Hao hawapigi Kura. Unajiuliza Frank Mwakajoka alishinda vipi???
 
Hamasa ifanyike kwa vijana kwenda kupiga kura. Kila mtu ahakikishe kitamburisho chake kipo na anakitunza. Nyomi majukwaani peke yake haileti ushindi.
Hao wanaosema kwamba vijana hawapigi kura ni waongo. Matokeo ya 2015 ni mfano bora. Nchi hii nani hana kitambulisho cha kura?? Watu wote wanavyo na wanavitumia kusajilia simu ma kadi za simu. Mambo mbali mbali ya kijamii na kiuchumi ynahusisha utambulisha amboa awali unabase kwebmnye kitambulisho cha mpiga Kura. Toka zamani wabunge wa upinzani wanapigiwa kura na vijana na idadi ya wabunge imekuw aikiongezeka mara dufu kila uchaguzi.
 
Wasiojulikana wanajuta hata kwanini walimpiga risasi huyu bwan.
 

Attachments

  • 2488880_JamiiForums-795763129.jpg
    112.7 KB · Views: 1
  • images (4).jpeg
    35.1 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    30.3 KB · Views: 1
  • images (2).jpeg
    26.5 KB · Views: 1
Kabisa Mkuu mimi ninacho nasubiri siku ifike ni mtafute KAMANDA LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…