Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Miongoni mwa wazee waliokataa kufumbia macho uhuni.

Mpaka akatumiwa vijana wa chama wahuni kumshambulia halafu baadae wakazawadiwa vyeo na Pascal Mayalla anawaita hawa wahuni "wapakwa mafuta "

 
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka Novemba 5, 1985, hadi Novemba 9, 1990 chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi.

Kizeee
 
Mwaka huu lazima upate kiharusi shwaini .
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka Novemba 5, 1985, hadi Novemba 9, 1990 chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi. Warioba babu akalee wajukuu
 
Anafaa sana ila hakutaka uraisi angetaka angegombea kupita ccm!
 
hapo machawa wa kijani na maboss wao wakiona hii utawasikia ooh.! Warioba ametoa siri za nchi .ooh ahojiwe ameongea nini na Lissu..wakati sote tunajua Warioba ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa hili taifa
 
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka Novemba 5, 1985, hadi Novemba 9, 1990 chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi.

Kizeee
Wasirra amekuwepo awamu zote tangu Tanganyika ipate uhuru kwani hakuna mbadala?

1-6 YUPO.
 
ccm watachukia
 
Wasirra amekuwepo awamu zote tangu Tanganyika ipate uhuru kwani hakuna mbadala?

1-6 YUPO.
Danieli 2:21, inasema:

"Yeye hubadili majira na nyakati, huwaondoa wafalme na kuwaweka wafalme, huwapa wenye hekima hekima, na wenye ufahamu huwapa maarifa."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…