4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sasa tusemeje , kama umri ule anabadilisha nywele , mbona Mzee warioba na mvi zake anapendaza , mzee Malichela je, mzee Msekwa n.k , anafanya haya kwa faida ya nani ? kama ni chama haya ni kidunia tu.Uliandika ukiwa serious?
Hata kama ni hivyo !Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Mkuu umeongea hoja nzito lkn sijui kama itaeweka vzr...watu wenye viburi vya madaraka na ukwasi, hakuna kinachowababaisha hapo!Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Kwenye maongezi yao hitimisho lao wamefikia lipiMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Asimsahau kile kibibi kilichoufyata wakati wa Jiwe Bikijo Simba.Kazi imeanza.
Akitoka hapo akamtembelee Mzee Butiku, halafu aende kwa Mama Maria Nyerere na kumalizia kwa Mama/Bibi yake Soka.
In short ni term ya kwanza ya Awamu ya pili ya mzee Rukhsa (1985- 1990)1986's
Pamoja na hayo, ila watu wakibwatabwata inawatisha kwasababu wabaweza wakawaamsha walio lala. Mimi huwa nawaonea huruma vijana wajinga wajinga ambao kipindi cha kampeni wanapewa vifula na kofia alafu uchaguzi ukiisha wanasakwa wanaitwa panya road.Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Huyu mzee mbona kaisha hivyo. Au gongo zimekiwa too muchMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
NaamIn short ni term ya kwanza ya Awamu ya pili ya mzee Rukhsa (1985- 1990)
1985 - 1990 ...Enzi hizo aliitwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais.Warioba alikuwa waziri mkuu mwaka gani
Warioba anaongelea umuhimu wa katiba mpya waziwazi, hao walioletwa na Mbowe umewahi kusikia popote wakiongelea katiba mpya?Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayo
mauti iwapate kwa Jina lipitalo majina yote, la Yesu Kristo ! (mauti ya kisiasa). wote tuseme AMINA.ccm watachukia
Nafikiri ni vyema kuanza na kuwatembelea hawa wenye taasisi zisizo za serikali za kutetea haki za makundi mbalimbali ili aweze kutengeneza mpangokazi wa nini cha kuwaambia wananchi.Asimsahau kile kibibi kilichoufyata wakati wa Jiwe Bikijo Simba.
Tatizo kaka mkubwa lopolopo sana,huaga haachi akiba,kwa mfano sasa kuna kura za wazi kabisa za team Magu,ila sasa inambidi kula matapishi yake.Kwa Nyerere kisiki
Haijasahulika alivyokuwa akimponda Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo
Ebo ! kumbe ?Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Shida ya mfumo toka enzi hizo,lazima uingizwe mkenge uwe kama wengine..File la Warioba likifunguliwa hakua msafi kivile! Kina flan wanayajua mengi ya nchi hii..labda katiba mpya ipatikaneMungu ni Mwaminifu,
Tunnaendelea kumuombea amlinde Mzee Warioba Hadi pale Nchi itakapopata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili dhamira yake utimie na KAZI yake animalize.
Na itakuwa hivyo.
Tukumbuke mwaka wa kukamilika na kutumika Katiba mpya ni 2026.