zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hakumchoma mbona Wenje alikubali alienda kwa Lissu ila kwa motive tofauti, na hilo la pesa za CCM mbona aliyaongea hadharani huko Iringa!! Haikuwa siri mpaka iwe kwa mtu mmoja tu.Lissu alimchoma Mjumbe mbele ya kamati Kuu. Huyu ndiye mnataka awe anapewa daily briefing kutoka kwa watu wetu wa kulinda nchi!!! Muelewe kuwa si Presidential Material huyu mtanzania Mwenzetu!