Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Mtu kama Mzee Kibao hawezi kuuwawa bila sababu ya msingi.

Ukiaangalia jinsi Mwenyekiti alivyowanyamazisha wanachama, Mama Abdul aliposema kwa dharau kifo ni kifo tu, Mama Abdul alitoa ahadi uchunguzi wa haraka utafanyika, hadi leo kimya.

Inaonekana Kibao alikataa rushwa ya Abdul na aliwajua wote walipokea rushwa, labda alitishia kuwa-expose, kwahiyo order ikatolewa kwa namna yoyote awe liquidated ili iwe onyo kwa wengine. Ndio maana ya kutekwa, kuteswa na kuuwawa mchana kweupe.
Halafu anabana pua na kurembua macho na kudai hajawahi kuua mtu labda sisimizi yaani Mzee Kibao ndiye sisimizi. Damu ya hutu mzee lazima itawafuatilia tu.
 
Lissu alimiminiwa risasi,Lissu huyo huyo alisaidiwa kwa kirefu kukodi ndege,kumsafirisha hadi Nairobi Kenya kwa matibabu na Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe.
Gharama za matibabu na mwenendo wa tiba hadi akatinga Belgium ni Mbowe.
Ikiwa Lissu anasema Mbowe ni prime suspect basi Chadema imekufa na kuzikwa juzi.
Hiyo ni conclusion yako,hakuna sehemu Lissu amemhusisha Mbowe na shambulio la risasi dhidi yake.
 
Najiskia vibaya kuona Tundu Lissu anakosa chama makini cha yeye kuwepo. Hafai kuwepo Chadema, kumeshakuwa sipo tena. Too sad tunaweza kumpoteza kabisa kwenye ulingo wa siasa, hii hali inakatisha tamaa sana. TL ni mtu makini sana, he’s too good to be around hao watu. Mazingira ya kuhusu rushwa, sijui migao ya hela na kununulika watu hayamfai hata kidogo. Hela zimekolea sasa wanakazi ya kumsema hovyo.
 
Wanaotekwa, Wanaouliwa Na wanaofanyiwa mambo ya Kinyama wote wanafanyiwa na Vyama vyao Ila Kisingizio mama samia na Serikali yake au Kisingizio Magu na Serikali yak..
Huu Ni ushahidi Kamili kwamba Chama Changu cha CCM Hakihusiki na Yote yanayotajwa Eeh Mungu nisamehe kwa Kuchukia Chama changu ns Kutamani Uongozi ubadilike..

Pia Lucas Mwashambwa Nisamehe Mdogo wangu Ukweli sasa Unaanza kidogo kidogo kufahamika
Kuwa Serikali haihusiki
 
Unaona Lisu alivyompuuzi....... leta vielelezo, si alikuachia? si alikupa ushidi? au alikwambia kwa maneno which is not evidence!

Anataka kuwapakazia walio kufa akijua hawatarudi!
Huyu lazima awatoe ngama unafikiri maneno anayozunguma hayana ushahidi usiotia shaka? Anachofanya anawakusanya mdogo mdogo mpaka mjae kwenye clamp kisha akamue. Option mliyo nayo ni kumuua tu vinginevyo atawamaliza.
 
Huwa tunawambia CDM inakikundi chake cha utekaji na Propaganda lakini mnajifanya hamjui ili kiendelee kusikika kinaitaji kufanya matukio yatakayousisimua jamii ili waiongelee Chadema sisi tunawambia kwa sababu tunajua unakuta na mpuuzi Mmoja anamahaba yake anapinga Pinga..
Kama kuna kikundi kama hicho basi kinapiga colabo na dola,haiwezekani kipige matukio yote hayo ambayo yanaichafua serikali na serikali na vyombo vyake ishindwe kuwabana.
 
TAL sijajua kapatwa na nini maana siye niliyemjua.
Jan 21 siyo mbali kivile
Ana mengi ya kusema na nahisi ndio maana anapata hizo threats za kuuawa tena. Kwa Tanzania huyu ni mwanamageuzi pekee tuliyebaki nae. Too sad atakata tamaa na sisi soon. Ila Mbowe kusema ukweli sijawahigi kumuamini. Anaonekana ni mfanyabiashara tu. Na watu wake wote sasa wamekuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom