Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Lissu alimchoma Mjumbe mbele ya kamati Kuu. Huyu ndiye mnataka awe anapewa daily briefing kutoka kwa watu wetu wa kulinda nchi!!! Muelewe kuwa si Presidential Material huyu mtanzania Mwenzetu!
Hakumchoma mbona Wenje alikubali alienda kwa Lissu ila kwa motive tofauti, na hilo la pesa za CCM mbona aliyaongea hadharani huko Iringa!! Haikuwa siri mpaka iwe kwa mtu mmoja tu.
 
Mbowe anakitambulisho chekundu msipoteze mda
 
Mbowe ni Usalama
 
Tukisema chadema ni chama cha wapumbavu muwe mnaelewa, joka linalowaua na kuwateka kila siku mnalo mnalilisha nyie halafu mnakaza mafuvu kuisingizia ccm. Code aliyosema mlopokaji wenu ni mazhombi pekee hawatamuelewa wataendelea ccm ccm ccm ccm.
Sijaelewa mkuu. CHADEMA wanaweza kutoa amri askari waondolewe masaa kadhaa kabla ya Lissu kupigwa risasi? CHADEMA wanaweza kung'oa CCTV camera?

Pia CHADEMA wanaweza kuzuia uchunguzi huru?

Nikikuita MABULULU nitakuwa nakosea?
 
Tukisema chadema ni chama cha wapumbavu muwe mnaelewa, joka linalowaua na kuwateka kila siku mnalo mnalilisha nyie halafu mnakaza mafuvu kuisingizia ccm. Code aliyosema mlopokaji wenu ni mazhombi pekee hawatamuelewa wataendelea ccm ccm ccm ccm.
Ina maana serikali ya ccm imeshindwa kuwabaini na kuwakamata watekaji waliopo Chadema.?!
 
Ngoma bado mbichi hii. Lisu apewe Ulinzi jamani
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.
Na kitendo cha Mlaghai Mbowe kuzuia watu wasimzomee Masauni kwenye msiba wa Kibao kule Tanga kinaibua Maswali mengi
 
asijekuwa yule mwarabu wa tanga
 
Hii mikutano kuruhusiwa tumeona uzwazwa wa chakadomoz

Kesho utasikia Lissu yupo ccm

Njaa tupu
Umeanza kumjua Lissu kipindi cha Magufuli?

Angekwepo Marehemu Mkapa angekuambia Lissu ni nani.

Kikwete aliwahi kutamka ni heri wakose Urais kuliko Lissu kuingia bungeni.

Source : Trust Me Bro Hutaki Acha.
 
Huyu mbowe ni zaidi ya mwenyekiti huyu anaweza kuwa ni muhusika wa matukio mabaya ya wanachadema.
Kwa mujibu wa maelezo ya Lissu kifo cha Mzee Kibao kinaweza kuwa kinahusika ushahidi huo aliokuwa nao ndiyo maana mhusika mkuu alisema ni kifo kama vingine tu. Lissu amefumbua fumbo hili. Ndiyo maana Lissu alisema tofauti ni jinsia tu.
 
Wewe ni mjinga ujue
 

TAL sijajua kapatwa na nini maana siye niliyemjua.
Jan 21 siyo mbali kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…