Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Halafu anabana pua na kurembua macho na kudai hajawahi kuua mtu labda sisimizi yaani Mzee Kibao ndiye sisimizi. Damu ya hutu mzee lazima itawafuatilia tu.
 
Hiyo ni conclusion yako,hakuna sehemu Lissu amemhusisha Mbowe na shambulio la risasi dhidi yake.
 
Najiskia vibaya kuona Tundu Lissu anakosa chama makini cha yeye kuwepo. Hafai kuwepo Chadema, kumeshakuwa sipo tena. Too sad tunaweza kumpoteza kabisa kwenye ulingo wa siasa, hii hali inakatisha tamaa sana. TL ni mtu makini sana, he’s too good to be around hao watu. Mazingira ya kuhusu rushwa, sijui migao ya hela na kununulika watu hayamfai hata kidogo. Hela zimekolea sasa wanakazi ya kumsema hovyo.
 
Wanaotekwa, Wanaouliwa Na wanaofanyiwa mambo ya Kinyama wote wanafanyiwa na Vyama vyao Ila Kisingizio mama samia na Serikali yake au Kisingizio Magu na Serikali yak..
Huu Ni ushahidi Kamili kwamba Chama Changu cha CCM Hakihusiki na Yote yanayotajwa Eeh Mungu nisamehe kwa Kuchukia Chama changu ns Kutamani Uongozi ubadilike..

Pia Lucas Mwashambwa Nisamehe Mdogo wangu Ukweli sasa Unaanza kidogo kidogo kufahamika
Kuwa Serikali haihusiki
 
Unaona Lisu alivyompuuzi....... leta vielelezo, si alikuachia? si alikupa ushidi? au alikwambia kwa maneno which is not evidence!

Anataka kuwapakazia walio kufa akijua hawatarudi!
Huyu lazima awatoe ngama unafikiri maneno anayozunguma hayana ushahidi usiotia shaka? Anachofanya anawakusanya mdogo mdogo mpaka mjae kwenye clamp kisha akamue. Option mliyo nayo ni kumuua tu vinginevyo atawamaliza.
 
Kama kuna kikundi kama hicho basi kinapiga colabo na dola,haiwezekani kipige matukio yote hayo ambayo yanaichafua serikali na serikali na vyombo vyake ishindwe kuwabana.
 
TAL sijajua kapatwa na nini maana siye niliyemjua.
Jan 21 siyo mbali kivile
Ana mengi ya kusema na nahisi ndio maana anapata hizo threats za kuuawa tena. Kwa Tanzania huyu ni mwanamageuzi pekee tuliyebaki nae. Too sad atakata tamaa na sisi soon. Ila Mbowe kusema ukweli sijawahigi kumuamini. Anaonekana ni mfanyabiashara tu. Na watu wake wote sasa wamekuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…