Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Katika hili aisee, huyu Mbowe wamrudishe tu gerezani akamalizie kesizake za ugaidi.
Seems kawatu ndani ya mfumo waechoka na wameamua ku leak hizi sensitive info zinazomhusu mtu wao aliyekuwa akiwatumia.
Lissu naye anaziachia kwa umakini mkubwa bila ya kumhusisha mhusika lakini dots zinaunganika.
 
Wewe ni lipumbavu sana!

Kwahiyo sasa hivi mnafanya hiyo mikutano?
 
Mkuu, Chadema ilikufa siku Mbowe na huyo Lissu walivyokubali kumpokea Lowassa 2015. Haya mengine yote ni yatokanayo tu!!
 
Ningelipenda 'TALL' amwage ugali kabisa ili kila raia amege matonge kwa kadri anavyotaka.

Aina hii ya ulishi wa kutulisha matonge kidogo kidogo huku akipulizia, hatuwezi kushiba haraka.

Tuna njaa sana sisi bhana.
Si ndio mnasema lisu mopokaji, unapopiga na mtu isionyrshe mbinu zote, toa moja moja
 
Niambie tofauti na mwaka 2024 nyeusi za CDM, Lissu alianza kuziongelea lini?
Mkuu, fuatilia kwa makini kila mtu anayemponda mwenyekiti anasema chanzo cha ugomvi na fitina na mafarakano yote haya ni suala la maridhiano yaliyobuma.

Hilo ndilo zogo na zengwe lililozaa kizaazaa na kila sakata unaloona sana.

Sasa kazi kwako kuchunguza timeline hiyo wewe mwenyewe!
 
Mikutano ya vyama, na kesi za kutunga hazihitaji maridhiano.
Ukisema hayo yanahitaji maridhiano tafsiri yake ni kwamba Mikutano ya siasa siyo jambo halali kisheria, na waliofunguliwa kesi wote na kuwekwa ndani walikuwa ni wakosaji kweli wa makosa wanayotuhumiwa nayo. Kwa kuwa jinai haiishi kwa style hiyo, hao bado ni watuhumiwa.
 
KWANINI IWE SASA...
KWANINI ASISEME KABLA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…