Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Wana mbinu nyingi. Sio lazima direct hit. Kwa Mwendazake kuna rumours kwamba betri ya moyo ilizimwa remotely na some technician with camera, kipaza sauti kiliwekewa Covid.
Kwahiyo Covid au Battery ?
 
Dah!
Mkuu 'Muda', hebu twende taratibu; maana hiyo nadharia ya Mbowe kuhusika kumwondoa Lissu ni ya muda mrefu, ingawa hadi leo hii pamoja na haya mengine mapya, siyo rahisi kuiamini.

Simply, it was too far fetched to be believed then, and it is still not possible to be linked directly to this new episode concerning Mzee Kibao. As of now, it's safe to say, these are two distinct incidents, unrelated.

Tuvute subira kidogo, mambo yanaelekea kujifunua yenyewe.
 
Kabla ya wakati gani? Huoni namna zinavyotumika hila nyingi kumdhibiti asipate platform ya kuongelea? Walianza kwa kumuwekea mshindani rafiki wa Mwenyekiti kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti...
Hajazuiwa mkuu. .
Alitakiwa aseme mizengwe wakati uleule na sio kusubiria uchaguzi ili kupata huruma..
 
📌📌
 
Hakuna ushahidi wowote...ungekuwepo polisi wangeshachukua hatua.
 
Mbowe hajaenda KKT usharika kuwajaza ujinga, watu wa karibu wamsihi, asijaribu mambobya Kibao kwa Lissu, kila mtu aneshamjua. Hizo pesa zita mtokea puani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…