Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Watu wanatekwa na kuuawa lakini Mbowe anasema mama anaupiga mwingi na maridhianao yan maana kubwa kwake,
wapi kasema Samia anaupiga mwingi? Unajua kama siyo "maridhiano" hata mikutano ya vyama ingelikuwa bado imefungiwa? Kesi 400 plus zingelikuwa bado mahakamani, etc etc. Sema kuwa huo ni mwanzo.... bado mengi ya kufaya kuleta utawala bora, katiba mpya tume huru y uchaguzi etc etc.

NIKUULIZE: Lisu atamlazimishaje samia alete katiba mpya? Tume huru ya uchaguzi? naomba jibu. kwanini hajafanya leo na jana, mpaka awe mwenyekiti?
 

😳🙄😱 ! Mmmh iko kazi !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥
 
If it walks like duck 🦆 smells like a 🦆 then it’s a duck 🦆 ??!
Duh 🙄, ngoja tuendelee kunywa mtori labda nyama tutazikuta chini !
 
Je Tangu mikutano ya Kisiasa iruhusiwe ni kwa namna gani Vyama vya Siasa Vimenufaika navyo [Rejea matokeo ya Uchaguz Serikali za Mitaa] . Hii ni danganya Toto!

Unasema Kesi Zaidi ya 400 zimefutwa kwa sababu ya maridhiano, Tunaomba uweke ushaidi kama unavyotaka Tundu Lisu aweke ushaidi kwenye Kila kitu anachosema!

Kesi 400 Leta na weka ushaidi hapa.
 
Hii mikutano kuruhusiwa tumeona uzwazwa wa chakadomoz

Kesho utasikia Lissu yupo ccm

Njaa tupu
 
Kuna uwongo mwingi mbowe alisema juzi, eti lissu kurejea nchini ni matunda ya maridhiano, wakati lissu alikutana na mama kabla ya maridhiano
 
Kuna mstari umeanza kuunga Dots sasa, kila kitu kitafichuka na kuwekwa hadharani.

Matamshi ya ... 'Kifo ni kifo tu'... Yanaanza kuleta maana yenye kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…