Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Mbowe na Lissu nitawachapa viboko ,wameniumiza sana moyo wangu ,najuta kukipenda chama ichi , ila sihami tutabanana hum hum
 
Keshamtàja kuwa ni Ally Kibao, ndo maana wakaamua kumuua.
Mbowe mtu mbàya sana.
 


Kwani CHADEMA ilipokuwa na Wabunge 147 na madiwani zaidi ya 1,000 kulikuwa na Katiba Mpya?

Vijana wa Mbowe hopeless kabisa
 
Washasema Kibao alikuwa kamati kuu.
 
Mimi nilishtuka nilipo sikia habari za mtu aliyempa Lissu hizo info ni marehemu na kwamba alikuwa mjumbe wa kamati kuu

Nikajiuliza huyo mtu ni nani na alikufa kifo cha aina gani?

Mambo ya Abdul na Wenje na rushwa zao ni swala la hivi karibuni tu, Aliyefariki karibuni ambaye ni mjumbe bila shaka ni Mzee Ali Kibao

Kwa mazingira haya sio chadema wala serikali watatoka kwenye kashfa ya kifo cha Kibao, hii inaelekea ni joint operation kati ya serikali na baadhi ya watu chadema

Halafu ndio maana pia mama yenu aling'aka aliposkia kifo cha Kibao na kuishia kusema kwa hasira kifo ni kifo tu wamekufa wangapi mnahangaika na Kibao?

Huenda siri alizokuwa nazo Kibao zina implicate familia yake ndio maana akawa kama katiwa pilipili

Muda ni mwalimu mzuri, Tusubirie
 
Ina maana mstaafu wa inteligence ya kijeshi Mzee kibao aliuawa akihojiwa aliekua anampa siri za ndani za Abdul na ikulu Kwa ujumla!!?

Kuna mahali nilisoma eti mkubwa alitaka wamharass TU ili wajue siri hizo na sio kumuua kabisa!!

Tunaanza ku connect dots!Sasa je wanainteligence ya kijeshi waliopo Sasa watakubali!!?

Hawatolipa kisasi!!?je na viongozi wa ccm hasa uvccm ambao wamekutwa wamekufa ni kisasi au Kuna genge la wahuni !!?

Naendelea kujiuliza Kwa uvumilivu huku nikiimba kama wengine waimbavyo eti"mama Hadi 2035!!
 
Itoshe tu kusema Mbowe ni gaidi. Wale vijana wapiga miluzi ya CHADEMA hasa wa mitandaoni hasa hapa JF sasa mnaanza kuelewa kuwa adui mnaye ndani na ni mkubwa sana.

Ukiona mbowe amekunja lile jicho anawa zoom kwa mbaaali kichwani mle kuna siri nyingi za hatari.
 
Tukisema chadema ni chama cha wapumbavu muwe mnaelewa, joka linalowaua na kuwateka kila siku mnalo mnalilisha nyie halafu mnakaza mafuvu kuisingizia ccm. Code aliyosema mlopokaji wenu ni mazhombi pekee hawatamuelewa wataendelea ccm ccm ccm ccm.
Wewe huna macho ya kuona ndani na kusoma hata alama ...
Wewe umekalia vyama vya siasa...
Unashindwa kuona code ya wahusika...
Unashindwa kuona kwamba Ally Kibao katoa code inayoharibu picha ya Boss kubwaaa ...na Kuna uwezekano ikawa technical mistake kwakwe ...
Wewe unakimbilia sijui CDM ...

Hivi wewe kwa akili Yako lile tukio la TEGETA linaweza kufanywa na vyama vya siasa ?
 
Utatetea sana lakin utaishia kuugua presha bro! Kubali tu kuwa Mbowe ndo anaiua CHADEMA na watu wake. Yule mwamba ana siri nyingi sana ila kuna watu mna mahaba naye kuliko hata Lilian
 
Ningelipenda 'TALL' amwage ugali kabisa ili kila raia amege matonge kwa kadri anavyotaka.

Aina hii ya ulishi wa kutulisha matonge kidogo kidogo huku akipulizia, hatuwezi kushiba haraka.

Tuna njaa sana sisi bhana.
 
Naomba uje Central tuyafile haya uliyoandika hapa Mkuu! Ukifika tu central ulizia Busumabu.
 
Mkuu umewaza kwa kutulia na umetufungia mada hii.
 
Ukitaka akili yako ijione haina akili basi kuwa mfuasi wa siasa za Afrika...
💯%.

Leo hii wameanza kuchenjiana wao kwa wao huku wengine wakidondosha vidokezo kuwa Mbowe anahusika moja kwa moja na baadhi ya matukio.

Ipo siku watamuomba radhi Magufuli na Pengine hata kumpigia kampeni kwa Papa ili apate utakatifu.
 
ule mwamba ana siri nyingi sana ila kuna watu mna mahaba naye kuliko hata Lilian
evidence, evidence, evidence...... anatoa revelations tu bila ushahidi.. kama akina Mbowe wangelikuwa kama yeye, wangelibwatuka tu na kumvika uongo kama anavyofanya yeye........

Fine sasa anashindwa nini kumuondoa Samia madarakani, kinamzuia nini ambacho atakipata kwenye uenyekiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…