Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Hicho kiherehere chako kitakuponza !We jamaa umenifanya niwaze matukio mengi sana ya CHADEMA, ndio maana huyu mtu hawezi kukubali kuachia nafasi ya Uenyekiti.
Mbowe ana mengi ya kuyalinda nje ya maslahi ya kifedha tuliyodhani na kuyapa kipaumbele.
Ku stay in power muda mrefu hivyo kunahitaji ukatili kwa opponents wako, wadhoofishe kila namna , si tu ushawishHuyu mbowe ni zaidi ya mwenyekiti huyu anaweza kuwa ni muhusika wa matukio mabaya ya wanachadema.
Allah Akbar! Upo dada mkubwa? Asalaam AleiqumAiseee!
Ipo shida kubwa CHADEMA, naomba isiwe hivi ninavyofikiri.
Lakini, siasa za Tanzania ni hatari mno. Kama mtu anajijua hayuko tayari kuagana na nyonga ni vyema asijihusishe kabisa.
Siku zote nimekuwa nawaambia watu, Lissu kupigwa lisasi ni CDM wenyewe, si unakumbuka marehemu yule alikua Rasta akitokea Mwanza miaka ile ?Na inawezekana ndiye aliyepanga kumfyatulia risasi Lissu😁😁
Endelea kupiga supu tajiri nyama ziko chini. Ndo kwanza kumekucha, ikivuma sana lazima ipasuke huu ni muda wa CHADEMA kupasuka na haizuiliki. Ukishakuwa na taasisi lakini uendeshaji wake unasimamiwa na mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu haiwezi ku last long.evidence, evidence, evidence...... anatoa revelations tu bila ushahidi.. kama akina Mbowe wangelikuwa kama yeye, wangelibwatuka tu na kumvika uongo kama anavyofanya yeye........
Fine sasa anashindwa nini kumuondoa Samia madarakani, kinamzuia nini ambacho atakipata kwenye uenyekiti?
Mbowe ana gari STK, STJ,Huyu mbowe ni zaidi ya mwenyekiti huyu anaweza kuwa ni muhusika wa matukio mabaya ya wanachadema.
Sisi CCM hatutaki Lissu awe Mwenyekiti. Tunamtaka Mbowe. Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Atakiua Chama. Mbowe ndo right person kwa sasaUnaona Lisu alivyompuuzi....... leta vielelezo, si alikuachia? si alikupa ushidi? au alikwambia kwa maneno which is not evidence!
Anataka kuwapakazia walio kufa akijua hawatarudi!
the opposite is the caseSisi CCM hatutaki Lissu awe Mwenyekiti. Tunamtaka Mbowe. Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Atakiua Chama. Mbowe ndo right person kwa sasa
haondoki mtu hapa. mtalia sana mpaka mtoke damuMbowe jitadhomini Kama kweli unaipenda cdm. Kubaki kwako cdm ni hatari kwa chama kuliko kuondoka. Ila Kama unafaidika na pesa Baki.
Mleta mada unge screenshot hiyo post ya Lisu ukaatach hapa mambo yangenoga sanaMgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.
Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.
Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Hapana. CCM wote tunataka Mbowe awe Mwenyekiti. Support tunayompa ni kubwa sana angalia hata mitandaoni. The guy ndo anafaa kuwa Mwenyekiti. Lissu huwa hajui kuficha siri. Na mbishi. Mbowe kwa sasa amekomaa sana kisiasa. Lissu ni hatari sana.the opposite is the case
Anatafuta pa kutokea mwongo huyo.Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.
Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.
Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Kalamu,Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji".
Kumbe wanajua mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!
Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?
Hovyo kabisa.
Yaani nyie mnamdanganya sana Lissu duniani hapa huwezi kupingana na mfumo, na mfumo haujawahi shindwa ni swala la mda tu. Pia na waambia mabadiliko tunayo yataka hayawezi kuletwa na wanasiasi kamwe.Lissu ameshakuwa big fish, kumuondoa sasa hivi itakuwa vigumu baada ya kushindwa kwa jaribio la awali.
Siku chache kabla ya tukio TANPOL walitoa taarifa kwa umma kwamba Kuna chama kimejipanga kuvamia vituo vya police. Yes, hii ukiconnect dots utagundua kwamba first suspect ni yeye.Mmmm nahisi ni Mzee Kibao huyo! Kuna uwezekano system na Mwenyekiti ilikuwa na one mission!
Kwa ujumla Mbowe anawafanyia futuristic wanachama huku anakula kwa mrija!
Hellow!!
What if TUNDU Lissu anatumia weledi wake kuhusu Sheria kutuwekea mipaka kutomdai ushahidi muhimu Kwa kutuambia shahidi muhimu aliyemsaidia Lissu kukusanya ushahidi ni marehemu Kwa sasa?
Karibuni 🙏