Duh! umenikumbusha zamani enzi za gazeti la Sani kulikuwa na KOMREDI KIPEPE, kumbe kizazi chache kiliendeleaHuyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Serekali yenyewe inavuja..Lissu anapata taarifa nyingi na sahihi toka serekali. Yupo sahihi. Hata RomaMkatoliki anamtuhumu Konda boy kwa kumteka...anasema Aliyemteka roma ndio aliyevamia Mawingu...Huu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Kwakeli mnamdhihaki lissu wala hamko na uchungu nae!Jiwe alikuwa ni shetani mwenye umbo la kibinadamu.
Wala hampo pamoja na lissu!Ushahidi upo tayari mwambieni mama Zile kauli zake zimewafikia wenye dunia Yao ndiyo maana wameanza na Tigo Kwanza ili iwe rahisi kupata ushahidi kamili kumbuka kesi IPO London...tulieni wazungu wafanye yao
Pole unamng'ong'a lissu!Wewe ndo umepagawa kabisa
Waovu wengi huwa wanajificha kwenye dini ili kuhadaa watu kuwa wao ni watu wema. Mfano dhalimu magu alikuwa anajifanya mtu mnyoofu sana akiingia kanisani ili kuhadaa watu kuwa ni mcha Mungu.Kama ni kweli Makonda kujifanya mtu wa dini ni dhihaka sana!
Yeye ashapigwa shaba na mabandidu akae atulie ndio ashakula shaba na pale alipo hata jogoo hasimami tena kama hujui sasa atulie tu anaongea sanaKwani amekuomba msaada? Alafu maendeleo mkaiombe CCM na mama yenu. Unataka lissu ukuelezee atakavyokuletea maendeleo wakati huna akili utaelewaje sasa
Mnafiki mkubwa mnamdhihaki lissu!Angekuwa amepigwa mumeo risasi 36 ungesema hivyo?
Mnyika kajifungia kanisani nae ni mmoja wa madhwalimu!Waovu wengi huwa wanajificha kwenye dini ili kuhadaa watu kuwa wao ni watu wema. Mfano dhalimu magu alikuwa anajifanya mtu mnyoofu sana akiingia kanisani ili kuhadaa watu kuwa ni mcha Mungu.
Huu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
Pia soma: Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Kumbuka: Watu wengi Sana hapa Tz ambao wamekuwa wakipewa promotion ya kupandishwa vyeo au kupata uteuzi katika nchi hii mara nyingi Sana ni wale Watu ambao wamekuwa wakijihusisha katika kutekeleza 'missions' fulani Fulani ambazo ni za udhalimu, au za uhalifu au za umwagaji wa damu. Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba suala hili lina ukweli wa moja kwa moja.Na huyo Paul Makonda bado eti ni mkuu wa mkoa...nchi hii!
Hii haikuhusu wewe pita pembeni.Kwa hiyo tunaongelea Tindu Lissu tu. Hakuna kitu kingine? Hizo ndo sera za CDM?
Wanafiki wala hamko pamoja na lissu!jidanganye hapo tunamsubiri ajitokeze bashite kukanusha
Wewe ndiyo umechanganyikiwa ,mbona alishaeleza wazi hata leo amesema magufuli ndiyo aliyeagiza TAL auawe ila kiongozi aliyeongoza TASK FORCE ya mauaji ni BASHITE ,kitu gani hapo hauelewi?Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Wewe si ndo unajiita Samia! Tulia wewe Samia feki Makonda yupo na yupo sana tu!Ipo siku yatakukuta wewe au ndugu yako.
Ndipo upumbavu utakuisha.
Toa unafiki wako kujifanya una uchungu nenda kajifungue!Ipo siku yatakukuta wewe au ndugu yako.
Ndipo upumbavu utakuisha.
Ondoa unafiki kujifanya unampenda ilihali unamdhihaki lissu!Na nyie wewesekeni mfikishe mahakamani, Mnaogopa, nini?
Msikilize huyu, ndio utajua, CCM ni wauaji.
View attachment 3106411