PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamepania kweli kuendelea na hii kesi?
Kazi kweli ipo.

Amandla...
 
Mtu mmoja alimfanya mwendazake halali usingizi alipothbutu kumuondoa akaondoka yeye

Mtu mmoja Ambae Hana ht bunduki anawafanya watu wenye majeshi hawalali
 
Hujui kuua mtu hakujawahi kuua mawazo yake? Muueni tu muone mtakachokipata
Ati elimination ,achana jibizana na machawa mkuu, aya ni laana kuu,

Sijui anachosema cha elimination Mungu akiamka kesho amemfutilia mbali , izo nguvu za kuja jamii forum atazipata wapi.
Mungu yupo kazini
 
Humfahamu Lissu!!Kama Mbowe alikaza inakuwaje kwa Mtu Makini zaidi kama Lissu.!!
Inajulikana hao ni watu wawili tofauti. Misimamo yao ni tofauti. Hulka zao ni tofauti, siasa na kadha wa kadha

Lissu ni soft sana hujui tu, mihemeko yake ndio unaona mgumu.

Waulize wenzako wakuambie. Mbowe anazirusha kama Tyson anytime anywhere.

Ushamsikia wapi Lissu akizirusha. Labda maneno
 
Fyongozi wanahanya nini? Mbona Lissu hana majeshi wala silaha lkn anawajambulisha hivyo?
Sema mawakili wa sirikali wanajifedhehesha sana na kujibebesha midhambi wao na familia zao!!
 
Wameamuaribia kiki yake, ukute Lissu alipanga aseme ‘aluta continua’ mbele ya wafuasi wa CDM. Sasa huko gerezani atasemea wapi.

On a serious note kipi muhimu kwa wanasheria wa Lissu, kiki za wanasiasa au ku-expose udhaifu wa sheria za nchi na legal process mbele ya dunia.

Mawakili wenyewe wa serikali wamekula kona hata mahakamani awajaenda, live mtandao si ndio ingekuwa fursa ya ku-expose mapungufu ya kisheria kuanzia alipokamwata mpaka leo.

Kupanga ni kuchagua, akili ni nywele na kila na zake.

Haya hiyo link ya kesi ipowapi anyone please
 
Wapumbavu wachache wameandalia Taifa Futuhi yenye Sterling na Kubwa la Maadui, na umma umetopea huko usijue hatma yake.
Pumbavu wote wanaohusika kwenye haya maigizo!
 
Mawakili wako bize kuongea na simu na wengine wanasinzia hadi Hakimu anawaamsha.

Maskini wamelala wapi sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…