PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vipi kwani mabalozi wanasemaje?
 
Reactions: UCD
Umetumwa na shwetani

Kibatala Fungueni case ICC kushitaki jeshi la polisi na serikali ya jamhuri waanze kutajana washushwe kiburi chao.
Akili zako ni tope! Unafikiri ICC inapokea kila kesi tu. Mbona hao ICC walishatoa hukumu ya kukamatwa Netanyahu lakini hakamatwi? Acha kuwa na akili za kitumwa!
 
CCM na serikali yake hawawezi kumuweza Lissu. Unajua wao wanaangalia kukomoa Lissu eti akae muda mrefu gerezani. Nawaambia ndo mnajianika uchi kwenye jumuiya za kimataifa. Angalieni sana msije mkatuletea shida za kiuchumi na passport yetu tunayotumia kusafiria kutoheshimika.
 
Lissu ana tatizo la afya ya akili.
Wewe ndo mzima? kawashika mbaya. Naomba sana Mungu Lissu hasiache msimamo huo maana kuna baadhi ya viongozi wana makufuru mengi sana sababu tu wanajiona wao ndo wao. kama yule aliyesema ataongoza mpaka Bwana wangu Yesu arudi
 
Wewe ni mwanasheria bila shaka na umeelewa sheria iliyotumika ndio maana umekuja na andiko hili.
Heko kwako
Hakuna lolote la maana nililoandika kuhusu sheria (hadi kunivika kofia ya uanasheria), not saying I am a pushover on legal matters.

Vinginevyo nilichoandika ni accusations za wanasheria wa Lissu na viongozi wa CDM toka hili sokomoko lianze. Huu sasa ndio ungekuwa muda wa wao ku-expose madhaifu ya kesi na due processes za sheria zilizokuikwa kwa madai yao.

Better still mahakama imewapa access to a large audience kupitia mtandao. That’s if kama kweli hiyo kesi ingekuwa live YouTube.
 
Dah hakika haki na sheria kwenye hii inchi zipo tu kwenye maandishi lakini hakuna haki/sheria inayotekelezwa....kwa hili serikali ya mama kizimkazi imejivua nguo.
nani ambae hatendi haki kesi inataka kuendeshwa kwa mtandao dunia nzima wasikilize kama kesi ya ICC anagoma, anataka isikilizwe chemba
 
Kuzirusha kuna haja gani?Akili kubwa haikimbilii kwenye hilo ulilolisema.Lissu ni muugwana sana lakini hayumbishwi kwenye ukweli.
 
Ni lazima tuwe tayari kulipa gharama kubwa kupambana na wakoloni weusi; vinginenyo, watatumaliza.
Nipo nasikiliza press hapa yaliyofanywa yaliyo fanyika inauma Sanaa Sanaa

Lucas , tlaatlaah, mnafurahi kuwauwa kwa watanzania wenzetu TUNAFANYIANA IVI WATANZANIA.

Inasikitisha Sana Sanaa Kama siasa inafanya tuwe na uadui wa aina hii inauma Sanaa

Hii itatengeneza uadui mkubwa Sanaa UCHUNGU, HASIRA.
 
Saigilomagema mwalimu unahorojoka tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…