Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tumemaliza "igizo" la vijana kumchukulia fomu za urais kupitia CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, sasa tunakuja kumpokea Mh.Tundu Lissu kwa miguu! Lini watanzania tutajifunza kufanya siasa za ukweli na sio maigizo?
 
Daah kwa Akili mgando hizi ndo maana mnashindwa hesabu ndogo ndogo za kujumlisha na kutoa Hadi mnaanza kulialia Bodi ya mkopo kuwakata Boom..

Wasomi wa Tanzania Ni pasua kichwa Sana.
 
Kwa vile Lissu anarudi wiki ijayo basi kuna wito nautoa kwenu wa kuweka picha zake kwa wingi sana hapa jukwaani ili kuonyesha kupinga wauaji na kuonyesha kuunga mkono juhudi za Mungu za kuhuisha Uhai wa mtu huyu.

Weka picha nyingi za Lissu kwa kadri uwezavyo
 
Naunga mkono hoja. Kama Waziri Mkuu wa Ethiopia alivyopokelewa.
 
Daah kwa Akili mgando hizi ndo maana mnashindwa hesabu ndogo ndogo za kujumlisha na kutoa Hadi mnaanza kulialia Bodi ya mkopo kuwakata Boom..

Wasomi wa Tanzania Ni pasua kichwa Sana.
Kanywe sumu kama imekukera. Nyie si ndio wale walimu mliokatwa mnalialia na fomu mlichukua za mkopo?
 
Loh, kifo kimeshavuruga ujio wake! Tunafanyaje?
 
Itoshe kumuita huyo mleta comment kuwa inawezekana ni kati ya walio mshambulia mh Lissu
 
Picha sina.

Ila nina kumbukumbu ya picha yake kule Nyamongo akiwa amezungukwa na mapolisi waliomchania Gwanda lake la CHADEMA na akabaki na 'singlet' ya ndani.

Picha hiyo iliniganda akilini hadi leo. Hata sijui kwa nini.

Hiyo picha ilitokea magazetini. Sikumbuki gazeti gani, lakini huenda ni Mwananchi au The Citizen. Mwaka...? Sikumbuki
 
Mkuu umma wa watanzania hawakukuelewa kabisa
Tatizo mnanilaumu kama mi ndo wahusika vile kumbe nimetoa mawazo yangu serikal itakavyofanya kama ni gaidi vile kumbe ni mwananchi tuu tena raia kwenye nchi yake
 
Loh, kifo kimeshavuruga ujio wake! Tunafanyaje?
Inaweza kuwa baraka (pamoja na kwamba tunaomboleza kifo. Ni msiba wa taifa letu).

Ratiba ya msiba itakavyotolewa iheshimiwe bila ya kinyongo chochote

Kama maombolezo yatakuwa bado yanaendelea, yaheshimiwe.

CHADEMA watatoa taarifa kufuatana na ratiba ya msiba itakavyokuwa. Mapokezi si lazima yafanywe kuwa msiba hauwahusu CHADEMA, unawahusu sana.

Mapokezi sio lazima yawe ya shamra shamra siku hiyo atakaporudi. Siku nyingine inaweza ikapangwa baadae. Ndio maana nikaanza kwa kuandika huenda ikawa 'baraka.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…