Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Huyo msaliti TS simpendi kabisa akirudi bora atiwe ndani tuUlitaka uwe wa kwanza alafu kauzi wala hakatakua na viewers wala wachangiaji wengi[emoji108][emoji108][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani yeye anakupenda?Huyo msaliti TS simpendi kabisa akirudi bora atiwe ndani tu
Unoko huo.Huyo msaliti TS simpendi kabisa akirudi bora atiwe ndani tu
TL awali aliahidi kurudi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi katika Jimbo lake, lakini baada ya mamlakaka kumpora Jimbo angerudi kufanya nini wakati kazi inayo mweka mjini ni Ubunge?Toka aanze kuahidi kurudi hii ni mara ya 5 anageresha tu. Lissu anapima upepo tu harudi ng'o
Chadema haeamtaki agombee, ACT wanamtaka Membe,labda arudi NCCR alipofukzwa
ULAANIWEKwa kifupi mimi nipo tayari kwenda airport kumpokea Savimbi wa Tanzania anayetarajia kurejea Bongoland Siku ya Jumatatu tarehe 27/7/2020 akitokea Ubeligiji akiwa Na DEREVA wake.
Nawaomba pia wengine mlioko tayari kama mimj kwenda uwanjani kumpokea Savimbi wa Tanzania njooni hapa.
Tanzania 🇹🇿 hatuna Savimbi, ila tuna Nduli Mkuu mumiani mnyonya damu za watu. Iiiiiiiiiiiiiii watalimia meno.Kwa kifupi mimi nipo tayari kwenda airport kumpokea Savimbi wa Tanzania anayetarajia kurejea Bongoland Siku ya Jumatatu tarehe 27/7/2020 akitokea Ubeligiji akiwa Na DEREVA wake.
Nawaomba pia wengine mlioko tayari kama mimj kwenda uwanjani kumpokea Savimbi wa Tanzania njooni hapa.