Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?????

ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
 
Tuna siku 4 zilizo baki kwa ajili ya kumpokea mh Lissu akitokea ughaibuni aliko kwenda kutibiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiyo julikana.

Umma wa watanzania wanapenda kukuhakikishia mh Lissu kuwa wameshajiandaa kwa ajili ya mapokezi yako kiongozi wao na tegemeo lao kwenye utetezi wa haki zao.

Karibu sana mh Lissu usijisikie unyonge, ndugu zako tupo kama tulivyo kuombea dua ukapona na sasa tunakuombea dua usafiri salama na ufike salama nyumbani tupo tunakusubiri. View attachment 1515090
Karibu Daud ,karibu mpakwa mafuta
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.
 
Tuendelee kumuombea afya njema na kumjaza ujasili
Huitaji kwenda kanisani au msikitini kujua kuwa mtu aliyepona mauti kwenye risasi 38 ni mtu wa nani.

Lissu anakuja kuithibitishia Tanzania kuwa Mungu yupo na ana mapenzi mema na watu wake. Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania October 2020
 
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
Haki huinua taifa . Tafuteni Kwanza haki na mengine mtazidishiwa
 
Mwambieni huyo anaye jitoa ubinadamu sababu ya itikadi za kisiasa, mtu kama huyu anashindwaje kumshambulia na kumjeruhi mpinzani wake?
mzee kuwa makini kabla hujafa hujaumbika siasa zisitufikishe huko aisee
 
Back
Top Bottom