Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Karibu sana nyumbani Tundu Lissu
Pole kwa masahibu mazito yaliyokupata.

Mtu aliaeamuru upigwe risasi anajifanya mzalendo...na kutaka atawale nchi hii hadi afie ikulu!

Karibu rafiki, ndugu na kiongozi wetu jasiri na shujaa! Taifa linakutegemea
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.
Hehehe!
Umesahau mara hii mwenyekiti wa CCM alivyojitangaza kuwa anakichaa na anawazimu?
Ndio maana anatakiwa ampishe Lissu, ni aibu na laana taifa kuongozwa na mtu anajitanganza kwa ana kichaa
 
Tuna siku 4 zilizo baki kwa ajili ya kumpokea mh Lissu akitokea ughaibuni aliko kwenda kutibiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiyo julikana.

Umma wa watanzania wanapenda kukuhakikishia mh Lissu kuwa wameshajiandaa kwa ajili ya mapokezi yako kiongozi wao na tegemeo lao kwenye utetezi wa haki zao.

Karibu sana mh Lissu usijisikie unyonge, ndugu zako tupo kama tulivyo kuombea dua ukapona na sasa tunakuombea dua usafiri salama na ufike salama nyumbani tupo tunakusubiri. View attachment 1515090
Sifurahii ujio wake maana usalama wake sina imani nao. Naogopa sana. Kwangu mimi kama nngelikuwa na mamlaka, ningesema asije kwanza! Labda kama amehakikishiwa usalama na International community kitu ambacho si rahisi kukipata! Unasemaje Mmawia?
 
Thubutu!!! Ole wenu nawaambia. Hapatakalika. Watu tumemaliza vyuo tangu 2015 hatuna ajira alafu mlete ushenzi wenu. Na lolote baya mtakalimfanya Lissu nawaambia ndo itakuwa mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania

2015 juzi tu hapa mkuu watu wana miaka kumi mtaani aisee
 
Huitaji kwenda kanisani au msikitini kujua kuwa mtu aliyepona mauti kwenye risasi 38 ni mtu wa nani.

Lissu anakuja kuithibitishia Tanzania kuwa Mungu yupo na ana mapenzi mema na watu wake. Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania October 2020
Huyu mtu kwa hakika ni mpango wa Mungu.
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.

Hii ndio raha ya uhuru wa maoni. Tatizo yakirushwa mazito upande wa pili huwa mnaishia kulialia kuwa viongozi wanatukanwa na kudhalilishwa. Sisi tuko poa sana kwa lugha zozote, kuanzia za shombo mpaka za kistaarabu.
 
Back
Top Bottom