Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Thubutu!!! Ole wenu nawaambia. Hapatakalika. Watu tumemaliza vyuo tangu 2015 hatuna ajira alafu mlete ushenzi wenu. Na lolote baya mtakalimfanya Lissu nawaambia ndo itakuwa mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania
Umenena mkuu, kwa sasa tegemeo letu lisu
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na kilema. Halafu Lissu ana historia ya ukichaa.
Humjui mwenye historia ya ukichaa kwenye ukoo wake? Njoo maeneo ya Bwanga ukitokea Geita, unakata kulia kuelekea Bukoba, Ila kabla ya kufika eneo linaitwa Mganza Kuna wilaya hapo katikati ulizia wazee watakwambia Nani ana historia hiyo ukoo wao. Hujui ashawahi kuukiri?
 
Umemaliza kazi kiongozi

Kwani Anga la Korona lishagafunguliwa?Si nasikia Madege ya Duniani eti yananyewa na Popo tu huko na Mijusi yanafanyiamo zinaa?
Tuna siku 4 zilizo baki kwa ajili ya kumpokea mh Lissu akitokea ughaibuni aliko kwenda kutibiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiyo julikana.

Umma wa watanzania wanapenda kukuhakikishia mh Lissu kuwa wameshajiandaa kwa ajili ya mapokezi yako kiongozi wao na tegemeo lao kwenye utetezi wa haki zao.

Karibu sana mh Lissu usijisikie unyonge, ndugu zako tupo kama tulivyo kuombea dua ukapona na sasa tunakuombea dua usafiri salama na ufike salama nyumbani tupo tunakusubiri. View attachment 1515090
 
Dadeeeki ujumbe wameupata
Tatizo Lumumba ubashite unawasumbua hamtofautiani na hao wasanii wenu wajinga waliopata kura zero wakizan wao ni kama sugu na prof j.
 
Thubutu!!! Ole wenu nawaambia. Hapatakalika. Watu tumemaliza vyuo tangu 2015 hatuna ajira alafu mlete ushenzi wenu. Na lolote baya mtakalimfanya Lissu nawaambia ndo itakuwa mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania
Wewe tena utaendelea kusubiri sana benchi maana una mawazo ya kijinga ambayo yamekuweka unapostahili...
 
Endeleeni kujidanganyana mtafanya huo upuuzi wenu tuwanyamazie.

Tutaanza nanyi polifisiem then tunafuata kwa mabwana zenu wanaowaagiza
Sory mkuu ni mawazo yangu nionavyo akija mi siko huko hata unanionea bure
 
Thubutu!!! Ole wenu nawaambia. Hapatakalika. Watu tumemaliza vyuo tangu 2015 hatuna ajira alafu mlete ushenzi wenu. Na lolote baya mtakalimfanya Lissu nawaambia ndo itakuwa mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania
Naomba unitoe kwenye hilo kundi sipo humo wala sihusiki hata tafadhali
 
Back
Top Bottom