Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Ulitaka uwe wa kwanza alafu kauzi wala hakatakua na viewers wala wachangiaji wengi[emoji108][emoji108][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Influenza,

Shujaa Lissu karibu sana nyumbani sisi CDM tunakumiss lakini CCM wanakuhofia sana, tupo nyuma yako kamanda njoo uongoze mapambano.
 
1
Toka aanze kuahidi kurudi hii ni mara ya 5 anageresha tu. Lissu anapima upepo tu harudi ng'o

Chadema haeamtaki agombee, ACT wanamtaka Membe,labda arudi NCCR alipofukzwa
TL awali aliahidi kurudi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi katika Jimbo lake, lakini baada ya mamlakaka kumpora Jimbo angerudi kufanya nini wakati kazi inayo mweka mjini ni Ubunge?

Mambo mengine hayahitaji PhD kuyaelewa.
 
Nitampigia kura huyu jamaa. Nasubiri nondo zake. Mataga wanahaha 😂
 
Afadhali aje aseme ni kwa nini haishi kuipaka matope Tanzania.shenz type.
 
Kwa kifupi mimi nipo tayari kwenda airport kumpokea Savimbi wa Tanzania anayetarajia kurejea Bongoland Siku ya Jumatatu tarehe 27/7/2020 akitokea Ubeligiji akiwa na DEREVA wake.

Nawaomba pia wengine mlioko tayari kama mimj kwenda uwanjani kumpokea Savimbi wa Tanzania njooni hapa.
 
Kwa kifupi mimi nipo tayari kwenda airport kumpokea Savimbi wa Tanzania anayetarajia kurejea Bongoland Siku ya Jumatatu tarehe 27/7/2020 akitokea Ubeligiji akiwa Na DEREVA wake.

Nawaomba pia wengine mlioko tayari kama mimj kwenda uwanjani kumpokea Savimbi wa Tanzania njooni hapa.
ULAANIWE
 
Tanzania 🇹🇿 hatuna Savimbi, ila tuna Nduli Mkuu mumiani mnyonya damu za watu. Iiiiiiiiiiiiiii watalimia meno.
Mtu yeyote anayetaka bidamu mwenzake aishi maisha ya shetani, huyo ni shetani mkuu
 
Back
Top Bottom