Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28


Ww ni mpuuzi uliyeota nywele kwenye kila tundu la mwili wako. Lissu aliwahi kutaka hifadhi kwa wazungu kwani alikimbia nchi, au alienda kwenye matibabu baada ya shambulio la kinyima la siasa chafu? Amekwisha pona ana ulazima gani wa kukaa ulaya wakati kilichompeleka kimetimia? Hajawahi kuichafua nchi hii, bali ameeleza kwa usahihi jinsi serikali ilivyogoma kumtendea haki kwa sababu za kisiasa. Inaonekana unachanganya kati ya nchi na serikali, ndio maana unaleta ushauri wa mihemko ya kishamba.
 
Umetoka.kwenye shimo la nungunungu ?,povu la nini ?
 
Habari hizi washirikishe machoqwo wenzako hapo Lumumba
 
Wewe ni kiazi
 
Mkuu mbona unatoka mkuku? [emoji125][emoji125]
Tatizo mnanilaumu kama mi ndo wahusika vile kumbe nimetoa mawazo yangu serikal itakavyofanya kama ni gaidi vile kumbe ni mwananchi tuu tena raia kwenye nchi yake
 

Mpumbavu wewe. Kupigwa risasi zaidi ya 30 unazichukuliaje?
 
Vumilia wewe mfuasi mjinga
Mimi si mfuasi wa Lissu, actually nampinga katika misimamo yake mingi.

Lakini naona unachanganyikiwa kwa kutoelewa somo la uraia.
Unachanganya mawazo yako na somo la uraia ambalo inaelekea hulijui kabisa.
Na huo ndo ujinga.
 
Hizi ni salamu kwa wenye usafiri wasitumie usafiri kwani mapokezi yawe ni kwa mguu. Siku hiyo shughuli zitasimama kutokana na umati wa maelfu ya watu. Hivyo napendekeza muheshimiwa abebwe begani akiwa kwenye kiti cha ufalme mpaka makao makuu ya chama.

Historia inakwenda kuandikwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…