Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
Kwani were hujui no mgombea urais yuko kwenye fact finding?Hivyo ndiyo ilipaswa kuwa hata kwa mheshimiwa sana afuatilie hali halisi ya watu wake kuliko kusema Tu msipo chagua Silinde Hamta pata maji.Nawao sijui hawata lipa kodi?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Maoni ya mhariri!opinion
/əˈpɪnjən/
noun
a view or judgement formed about something, not necessarily based on fact or knowledge.
.
.
.
Sema nyie mmelogwa kwa kutetea hata visivyokweli, mkioneshwaa K mnaweza mkasema hii sio K ni Tigo.
Mbona alisema atapunguza kodi kumbe hajafanya utafiti?!!!!K
Kwani were hujui no mgombea urais yuko kwenye fact finding?Hivyo ndiyo ilipaswa kuwa hata kwa mheshimiwa sana afuatilie hali halisi ya watu wake kuliko kusema Tu msipo chagua Silinde Hamta pata maji.Nawao sijui hawata lipa kodi?
Ficha upumbaaf wako kwa kukaa kimya....! Tundu Lissu Ni Wakili Msomi anajua kila kitu kuhusu sheria ya Kodi!Mbona majukwaani huwa anapayuka atapunguza kodi? Kumbe hajui hata kodi yenyewe inavyolipwa?!!!
Pumbaf wewe mwenyewe bwashee!
Kwani katiba inazuia mgombea kuuliza maswalii wapiga kura?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ndio mpumbavu meku!Ficha upumbaaf wako kwa kukaa kimya....! Tundu Lissu Ni Wakili Msomi anajua kila kitu kuhusu sheria ya Kodi!
Anajua kuna uonevu mwingi sana kwenye ulipaji wa Kodi through TRA ndiyo maana kaulizwa Swali la kichokozi makusidi...!!!
Wewe ni mpuuzi wa kupuuzwa tu.Mbona alisema atapunguza kodi kumbe hajafanya utafiti?!!!!
Hivi hii HOFU yote mnatoa wapi aisee?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Yanihusu vp wakati anagombea uraisi? vp na wewe zmekuruka? alafu mwambieni achane nywele bana, anagombea position kubwa sana: mambo ya kwenda sehem bila kuchana nywele yaishie kwenye lile jengo la kupangisha pale ufipa
Wewe vipi?Wewe ndio mpumbavu meku!
Kupunguza/ kufuta kodi ni sera ya Chadema, huyi Lisu hajafundishwa na akina John Mrema hadi aanze kuvamia wafanyabiashara kariakoo?
Wewe mbwiga Chadema wanahubiri kufuta kodi kwenye sera zao, iweje waanze utafiti leo?Ujinga unaongezeka chini ya CCM Yani kuhoji tra inakataje makato ni Jambo la kushangaza aisee ondokeni mtuachie nchi yetu .
Huyo wa kwenu anayechana nywele ana nn kichwani? Shida yenu mna akili za kula rambirambi tu na siyo mambo mengine.yaani bado unamfuatilia tu huyu kichaa? hata kuchana nywele hawezi
Amehoji yeye kama Lissu! Tatizo wengi wenu, Bwashee mmeshikiwa akili na chakubanga! Fikiria nje ya 📦, hata Wewe unaweza kuhoji tu!Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
So hopeless! it seems wewe na chakubanga ni mapacha.Wewe ndio mpumbavu meku!
Kupunguza/ kufuta kodi ni sera ya Chadema, huyi Lissu hajafundishwa na akina John Mrema hadi aanze kuvamia wafanyabiashara kariakoo?
Huyo wa kwenu anayechana nywele ana nn kichwani? Shida yenu mna akili za kula rambirambi tu na siyo mambo mengine.
Uliambiwa tafiti zina kikomo?Think big..Wewe mbwiga Chadema wanahubiri kufuta kodi kwenye sera zao, iweje waanze utafiti leo?
Wanadanganya wananchi?!!
Amehoji yeye kama Lissu! Tatizo wengi wenu, Bwashee mmeshikiwa akili na chakubanga! Fikiria nje ya 📦, hata Wewe unaweza kuhoji tu!
Mayanga Construction 🤒sasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara Kariakoo