Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

WaTz tuacheni roho mbaya ,kesho na kesho kutwa Lissu anaweza kuwa Raisi na akawachagua anaowaona yeye wanafaa bado kutatokea waTanzania watamshangaa.
Hapana, suala liko wazi.
 
16 Aug2023
Manyara, Tanzania

MAHAKAMA YAAMURU MNYETI KULIPA GHARAMA, ACHELEWA KUPELEKA NYARAKA HIZI "MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA"

View: https://m.youtube.com/watch?v=2RrxjfvP730

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Manyara na sasa mbunge wa Misungwi Mh. Alexander Mnyeti aamuriwa kulipa gharama kwa kuchelewesha mwenendo wa kesi inayonguruma mahakamani ya kusababisha hasara ya 1 bilioni shilingi za kiTanzania.

: Habari kwa kina sakata la Alexander Mnyeti kesi ya matumizi mabaya ya madaraka : More info in detail

Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika.

View attachment 2737945
Video: By Mwananchi Digital

--
Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri, katika walioteuliwa yupo Alexander Pastory Mnyeti ambaye ni mbunge wa jimbo la Misungwi mkoani Mwanza. Mnyeti alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara kabla hajawa Mbunge. Mnyeti na madiwani walipitia wote bila kupingwa sababu aliyekuwa mgombea na madiwani kata 27 walienguliwa wote.

Lissu anasema tume ya Haki ya Binadamu na Utawala Bora ilimtia hatiani Mnyeti na kusema kuwa hana maadili ya kuwa kiongozi na ni mla rushwa kwa vitendo alivyofanya akiwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

Lissu anazidi kusema kuwa Rais anayeteua watu waliotiwa hatiani na mamlaka aliyoiteua ina maana anaunga mkono wala rushwa na hana uadilifu.
Asante kwa ku summarize alichokisema

Kwenye hili, hakusita kusema kuwa hata Rais mwenyewe hana maadili na ni mla rushwa vilevile..
 
16 Aug2023
Manyara, Tanzania

MAHAKAMA YAAMURU MNYETI KULIPA GHARAMA, ACHELEWA KUPELEKA NYARAKA HIZI "MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA"

View: https://m.youtube.com/watch?v=2RrxjfvP730

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Manyara na sasa mbunge wa Misungwi Mh. Alexander Mnyeti aamuriwa kulipa gharama kwa kuchelewesha mwenendo wa kesi inayonguruma mahakamani ya kusababisha hasara ya 1 bilioni shilingi za kiTanzania.

: Habari kwa kina sakata la Alexander Mnyeti kesi ya matumizi mabaya ya madaraka : More info in detail

Bila shaka akiona hii, atatengua na kufanya re - appointment kama ambavyo amefanya mara nyingi..
 
Wewe hunaga akili, Lisu alifanya makusudi tena kisiasa zaidi

Awali Lisu alisema Mnyeti alijidai Magufuli ni binamu yake Kumbe uwongo!
Wewe mimi nimesoma part of my Education Massachusetts Institute of Technology..... nitafutie wa hapa waliosoma pale wangapi. Sijasoma Cuba mliko soma nyote CCM. Hilo nimelimaliza.
Lisu ni Albert Einstein! (unamjua huyu mtu)
 
WaTz tuacheni roho mbaya ,kesho na kesho kutwa Lissu anaweza kuwa Raisi na akawachagua anaowaona yeye wanafaa bado kutatokea waTanzania watamshangaa.
Una maana kuwa makosa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ni halali Kwa kuwa tu unafikiri na pengine kudhani na kuhisi kuwa hata Tundu Lissu akiwa Rais aweza kuteua watu wasio waadilifu..?

Hebu jisikilize tena mwenyewe kwa umakini kwa hiki ulichoandika hapa halafu njoo tena utuambie..
 
Back
Top Bottom