Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Sawa mbona mrema cheyo mbatia wamnadi mgombea wa ccm

Juzi magufuli alimnadi ezekia wenje kule rorya
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
CCM mlitegemea divide and rule eeeh? Sasa mwaka huu imekula kwenu, mitego yote mliyoweka ACT ná Chadema wanaitegua. Mtajua hamjui mwaka huu!!!

Jiandaeni tu kuwa Chama pinzani. Hiyo ndo Tundu Antiphas Lissu. The big brain!
 
Kwamba Chadema wanaweza kufanya lolote Zanzibar.

Hiyo hela ya kampeni ZNZ na wakijua hawawezi kupata mbunge hata mmoja wala kura za urais itakua nikuchezea hela za chama. Nawapongeza kwa kuuona ukweli maana wangefanya tu maigizo kuweka mgombea Zanzibar.
 
Mbona unapagawa. Asante kwa kutambua kuwa 2021 - 2015 Zanzibar ACT Bara Chadema.

Usisahau kudondosha kura yako.[emoji122][emoji122]
Nmeshangaa mlkivyo wajinga na hamkujipanga!

Unajua kabisa chadema na act wana itikadi tofauti sasa unategemea mkishinda mtaingozaje?

Yani Lisu akivusha 20%ya kura nipigwe ban ya maisha hapa jf
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Mkiwalegezea cdm, mtakiona cha moto act itasambaratika. Waulizeni cuf walivyobomplewa kimkakati
 
Back
Top Bottom