Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Wajiondoe zanzibar sasa huyo mgombea wao yeye atamnadi T Lisu au atakuwa na kazi gani?Kwani we ulikua unamaoni gani juu ya hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajiondoe zanzibar sasa huyo mgombea wao yeye atamnadi T Lisu au atakuwa na kazi gani?Kwani we ulikua unamaoni gani juu ya hilo
Acha kuropoka!! Hivi unaijua sheria mpya ya vyama vya siasa vinapotaka kusaidiana? Kwenye uchaguzi!!! Alichofanya lisu leo ndio option pekee iliyopo hakuna nyingine!! Lisu ana mi akili mingi sana!!Ndio mana ninaamini uchaguzi huu ni mwepesi sana. Yule mgombea wa Chadema urais wa zanzibar mtamwambia nini?
Kama mliyajua hayo kwanini mliacha mchakato uendelee?
Tusubiri mgombea wa Chadema atakaposema wanaChadema Zanzibar wampigie membe kura za ndiyo.
Mlijidanganya oooh tutashinda uchaguzi kwa kimbunga kwa 99% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Membe hawezi waunga mkono nyie. Atamuunga jpm
Hivi hajachukua fomu?umeona mgombea wa chadema akichukua fomu na kurejesha ?
ya chadema alichukua ya NEC hajachukuaHivi hajachukua fomu?
Huyo mgombea urais wa CHADEMA Zanzibar ni nani?Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Unahangaika tu na vimaneno vyako. Jpm mwenyewe anahaha wewe hohehahe huna kichwa wala miguu eti unadinda??Nmeshangaa mlkivyo wajinga na hamkujipanga!
Unajua kabisa chadema na act wana itikadi tofauti sasa unategemea mkishinda mtaingozaje?
Yani Lisu akivusha 20%ya kura nipigwe ban ya maisha hapa jf
Mgombea wa CDM Zanzibar ulimteua wewe?Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Mataga mtarimbo umewaganda.Huyu kamanda kahama Chadema?View attachment 1562087
Nakuelewa mzee mwenzanguAkili kubwa ccm huwezi kuelewaaa
Ndo nauliza nipate majibuLini?