Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Kila nikisoma majigambo ya wapenzi wa vyama vya siasa haswa CCM na Chadema naitamani tarehe 28 October, tarehe 29, 30 na 31😃😃😃😃😃
 
Ndio mana ninaamini uchaguzi huu ni mwepesi sana. Yule mgombea wa Chadema urais wa zanzibar mtamwambia nini?
Kama mliyajua hayo kwanini mliacha mchakato uendelee?

Tusubiri mgombea wa Chadema atakaposema wanaChadema Zanzibar wampigie membe kura za ndiyo.
Acha kuropoka!! Hivi unaijua sheria mpya ya vyama vya siasa vinapotaka kusaidiana? Kwenye uchaguzi!!! Alichofanya lisu leo ndio option pekee iliyopo hakuna nyingine!! Lisu ana mi akili mingi sana!!
 
Membe hawezi waunga mkono nyie. Atamuunga jpm
Mlijidanganya oooh tutashinda uchaguzi kwa kimbunga kwa 99% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sasa mmeanza kushikana uchawi mara tu baada ya kuona upinzani ukizidi kushamili.

Mwaka huu mjiandae kurudi makwenu maana hamna tena kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.

Muda unatoa majibu sasa.
Huyo mgombea urais wa CHADEMA Zanzibar ni nani?
 
Nmeshangaa mlkivyo wajinga na hamkujipanga!

Unajua kabisa chadema na act wana itikadi tofauti sasa unategemea mkishinda mtaingozaje?

Yani Lisu akivusha 20%ya kura nipigwe ban ya maisha hapa jf
Unahangaika tu na vimaneno vyako. Jpm mwenyewe anahaha wewe hohehahe huna kichwa wala miguu eti unadinda??
 
Lissu amekuwa realistic kwenye huu uchaguzi.

Wangeunganisha nguvu hata kwenye majimbo ya ubunge na udiwani kuhakikisha wanasimamisha mgombe mmoja.

CCM wangekaa mapema.

Kinachoenda ni kugawana kura.
 
Wote wasaka tonge am trusting non of them..ngoja nilale kesho asbh na mimi nikasake tonge langu.
 
Back
Top Bottom