Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

Aliyekuruhusu kuuliza maswali ya kipuuzi Ni Nani? Wahi kazini Sheria haziwaruhusu
 
Huyo anatafuta choko choko.. dk 15 zake karibia zinakwisha..
Lissu anawafanya CCM, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. Lissu katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.
 
Mh Rais Tundu Lissu - shikilia hapo hapo baba, watesi wako wanalegea huku..... piga spana tu, pigaaa!!
 
Kwani wakati wale polisiccm walipomuwekea kizuizi ilikuwa usiku, mbona una wenge sana dada mkubwa?
 
Hata juzi hapa ccm walifanya kikao chao cha mikakati ya ushindi mkoa Fulani, na Mimi nilijichomeka nilihudhuria, kikao kiliisha SAA sita usiku...
 
Forget about Lissu and politics...

Je, kuna kazi yoyote ambapo ni haramu kuifanya usiku?!
 
Ili Askari waje wamzuie tena?
 
Mind your fucking business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…