Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wewe tuwasubiri wanasheria akina Pascal Mayalla!Wewe ndiye utoe kifungu kinachokataza kufanya shughuli hizo. He who alleges must prove!
Lissu anawafanya CCM, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. Lissu katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.Huyo anatafuta choko choko.. dk 15 zake karibia zinakwisha..
Kama hujui sheria pita kimya meku!Kumbe na wewe bichwa kifuu cha nazi ati ee[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Mh Rais Tundu Lissu - shikilia hapo hapo baba, watesi wako wanalegea huku..... piga spana tu, pigaaa!!Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani wakati wale polisiccm walipomuwekea kizuizi ilikuwa usiku, mbona una wenge sana dada mkubwa?Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Jibu swali meku!Kwani wakati wale polisiccm walipomuwekea kizuizi ilikuwa usiku, mbona una wenge sana dada mkubwa?
Tofautisha kati ya kuanza na kwisha bwashee!Hata juzi hapa ccm walifanya kikao chao cha mikakati ya ushindi mkoa Fulani, na Mimi nilijichomeka nilihudhuria, kikao kiliisha SAA sits usiku...
Forget about Lissu and politics...Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
rais mstaafu wa TLS kwa akina Mayalla!Mh Rais Tundu Lissu - shikilia hapo hapo baba, watesi wako WANALEGEA huku..... piga spana tu, pigaaa!!
Ili Askari waje wamzuie tena?Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Tofautisha kati ya kumzuia na kulinda usalama wake!Ili Askari waje wamzuie tena?
hahahaaaaaa!rais mstaafu wa TLS kwa akina Mayalla!
Mind your fucking businessMimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa Chadema Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Lisu hatavuka 12% ya kura zote, hilo nakuhakikishia!hahahaaaaaa!
MATAGA kwisha habari yake October.
Umeshakunywa kisusio kupunguza mbege iliyolalia kichwani?Mind your fucking business
sawa comrade..... tusubiri, tusiandikie mate ilihali wino upo!Lisu hatavuka 12% ya kura zote, hilo nakuhakikishia!
Azuiliwe mchana kwa usalama wake, halafu aachiwe usiku aendelee ndio kwenye usalama.Tundu Lisu alizuiwa kwa ajili ya usalama wake bwashee!