Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

Mwisho wa siku msafishaji akasafishwa na maisha yanaendelea!
Mungu atabaki kuwa Mungu tu.
 
Hakika

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu. Nashukuru sana. JPM alikuwa sio kabisa. Uongozi wake ulifaa wakati wa awamu ya kwanza ambapo wajinga walikuwa wengi sana. Ile awamu ndo ilihitaji ubabe ili watu wakae sawa. Hakupaswa kabisa kuongoza jamii ya watu ambao tayari wameshaanza kustaarabika na wasomi kibao mtaani.
 
Acha uongo!
Ati Lissu anahutubia kituoni polisi!
Ni kwa Police General Orders zipi, raia kuhutubia kituoni polisi.
 
Makonda bado yupo hajauliwa. Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha wauaji waliotaka kummaliza Lissu
Ni suala la muda tu ndugu. Mambo mengine ni NATURE tu huamua. Huwezi kuwa muuaji halafu kirahisi tu uwe na mwisho mzuri.
 
Huyo siyo lissu. Hapo ni lugalo. Walistage ilo tukio kesho yake baada ya lisu kupogwa risas huyo mbabu ni mwanausalama eti naye kapigwa risasi

Yani hukohuko tu kwa shemeji yako kabla lisu kupigwa risasi hadi basda ya kupigwa risasi
Asante kwa kunielewesha
 
Ni wakati wa Serikali kumoatia gari jipya vx-Zx V8 au chuma kama.Mawaziri wa sasa
 
amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Asante sana kwa taarifa, kumbe, uchunguzi wa tukio hilo umekamilika hadi PT ku relese vital evidence!. Siku zote nilidhani ni Lissu alikuwa anasubiriwa aandike maelezo ndipo uchunguzi uanze, kumbe uchunguzi imefungwa!. Niliwahi kushauri, na leo nashauri tena, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Kama serikali yetu imeshindwa kufanya uchunguzi, isione aibu kusema imeshindwa, watu wenye uwezo huo tupo, serikali iseme wazi imeshindwa na kutoa Rai kwa wenye uwezo wajitokeze wasaidie, watu tupo, tutajitokeza, tuta saidia.

Si wengi humu wanajua kuwa waandishi wa habari wa IJ wanauwezo wa kipolisi ila wanahitaji kibali. Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…