Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa umri wake hata akipata tatizo eneo hilo sio shida maana tayari ni mtu mzima, na ana watoto tayari.Bora kama hakuathirika kwenye uanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wake hata akipata tatizo eneo hilo sio shida maana tayari ni mtu mzima, na ana watoto tayari.Bora kama hakuathirika kwenye uanaume
Daa,nimeshangaa sana mkuuKuna watu wana roho sana mkuu wala usishangae.
Mwisho wa siku msafishaji akasafishwa na maisha yanaendelea!MTU unajitolea kusafisha na kuboresha nyumban yenu halafu anatokea mbuzi mmoja na kuanza kubwatuka eti majilani hawapendi, anaanza kupeleka majungu kuwa unaharibu vitanda na mapazia Kwa kuvufuta vumbi etc??
MTU huyo Kamata nyanyua miguu juu kichwa chini tupa nje huko hana maana.
HakikaHuyo sio Lisu, bali lilitokea igizo la kuhadaa umma kuwa kuna mwanajeshi mstaafu naye alipigwa risasi, kisha Magufuli akaenda kumtembelea.
Lengo la hadaa ile ilikuwa ni kupumbaza watu wenye uelewa mdogo kuwa mashambulio ya risasi ni mambo ya kawaida na sio kwa Lisu tu. Pia ilikuwa kutaka kuonyesha hata ukishambuliwa na risasi hospitali zinaweza kutoa matibabu, na kupelekwa kwenye matibabu nje ni kukosa uzalendo. Hadaa nyingine ilikuwa ni kuonyesha kuwa Magufuli ni mtu mwema anaweza kutembelea wahanga wa mashambulio, hivyo kuwa hata Lisu angeenda kutibiwa muhimbili Magufuli angemtembelea. Lakini kwa jinsi mitandao ilivyowaumbua wakapoteza hilo igizo.
Nimekuelewa mkuu. Nashukuru sana. JPM alikuwa sio kabisa. Uongozi wake ulifaa wakati wa awamu ya kwanza ambapo wajinga walikuwa wengi sana. Ile awamu ndo ilihitaji ubabe ili watu wakae sawa. Hakupaswa kabisa kuongoza jamii ya watu ambao tayari wameshaanza kustaarabika na wasomi kibao mtaani.Huyo sio Lisu, bali lilitokea igizo la kuhadaa umma kuwa kuna mwanajeshi mstaafu naye alipigwa risasi, kisha Magufuli akaenda kumtembelea.
Lengo la hadaa ile ilikuwa ni kupumbaza watu wenye uelewa mdogo kuwa mashambulio ya risasi ni mambo ya kawaida na sio kwa Lisu tu. Pia ilikuwa kutaka kuonyesha hata ukishambuliwa na risasi hospitali zinaweza kutoa matibabu, na kupelekwa kwenye matibabu nje ni kukosa uzalendo. Hadaa nyingine ilikuwa ni kuonyesha kuwa Magufuli ni mtu mwema anaweza kutembelea wahanga wa mashambulio, hivyo kuwa hata Lisu angeenda kutibiwa muhimbili Magufuli angemtembelea. Lakini kwa jinsi mitandao ilivyowaumbua wakapoteza hilo igizo.
Aliyekuwa anaingilia mambo ya watu alitangulizwa na wajanja wa mjini.mkuu niwe mkweli TU sikupenda namna alivyokuwa anafanya.
kwa Nini iwe yeye??
Acha uongo!Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua.
Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu hiyo imefikia zaidi ya 30!
Akiwahutubia polisi hao kwenye kituo chao , ameonyesha kushangaa kwamba ilikuwaje pamoja na lundo hilo la risasi hizo akatoka akiwa anapumua, amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Tunatoa shukrani kwa jeshi la Polisi kwa kumuonyesha Lissu Gari lake, japo ni kwa kuchelewa.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ni suala la muda tu ndugu. Mambo mengine ni NATURE tu huamua. Huwezi kuwa muuaji halafu kirahisi tu uwe na mwisho mzuri.Makonda bado yupo hajauliwa. Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha wauaji waliotaka kummaliza Lissu
Military nini?Inasemekana wafyatuaji risasi wote walishauwawa. Angalia iyo picha chini jinsi walivyochanganyikiwa na kuanza kuigiza. Ningependa kujua ni nani aliyetoa ilo wazo waigize kijinga hivyo. Watu wazima wanafanya Mambo ya ajab, aibu na kukera. Hata hivyo ilikuwamepanic.View attachment 2615673View attachment 2615669
View attachment 2615669
sasa huyo Chiba wako anabwagukia niniAliyekuwa anaingilia mambo ya watu alitangulizwa na wajanja wa mjini.
Amebaki mifupa mitupu Chato
Asante kwa kunieleweshaHuyo siyo lissu. Hapo ni lugalo. Walistage ilo tukio kesho yake baada ya lisu kupogwa risas huyo mbabu ni mwanausalama eti naye kapigwa risasi
Yani hukohuko tu kwa shemeji yako kabla lisu kupigwa risasi hadi basda ya kupigwa risasi
Au tubadilishe lugha , "ALIWAELEZA POLISI KITUONI HAPO KWA KIREFU KWAMBA ATAKUJA KULICHUKUA GARI LAKE"Acha uongo!
Ati Lissu anahutubia kituoni polisi!
Ni kwa Police General Orders zipi, raia kuhutubia kituoni polisi.
Hata kama, kwasababu teyari keshazaa kazi yake imeshafanya.Bora kama hakuathirika kwenye uanaume
Hatimae polisi wamekata maneno waliyozushiwa kuhusu gari
Ni wakati wa Serikali kumoatia gari jipya vx-Zx V8 au chuma kama.Mawaziri wa sasaHayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua.
Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu hiyo imefikia zaidi ya 30!
Akiwahutubia polisi hao kwenye kituo chao , ameonyesha kushangaa kwamba ilikuwaje pamoja na lundo hilo la risasi hizo akatoka akiwa anapumua, amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Tunatoa shukrani kwa jeshi la Polisi kwa kumuonyesha Lissu Gari lake, japo ni kwa kuchelewa.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
..Na Lissu amekata maneno aliyozushiwa na Igp Sirro kwamba hatoi ushirikiano au "hapatikani."
Wapo watu ambao huwa hawaamini Kuwa Mungu yupo ! Hao watu wanaweza kumfanyia mtu mwingine ubaya wowote ule tena kwa ujira mdogo sana !!Umepitiliza
Asante sana kwa taarifa, kumbe, uchunguzi wa tukio hilo umekamilika hadi PT ku relese vital evidence!. Siku zote nilidhani ni Lissu alikuwa anasubiriwa aandike maelezo ndipo uchunguzi uanze, kumbe uchunguzi imefungwa!. Niliwahi kushauri, na leo nashauri tena, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.