Huwezi kuelewa wewe una kichwa cha panzi! Yaani mpaka leo tunasikia atafanya nini kwa watumishi? Atafanya nini kwa wakulima? Atafanya nini kuhusu afya? Atafanya nini kuhusu wamachinga? N.k jinga kabisa wewe!Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Acha kashfa na ubaguzi ndugu hujafa hujaumbika na pia hutaishi milele, wewe mwenzetu labda una uhakika wa kuwa mzima maisha yako yoteUko sahihi sasa akichaguliwa uwa amiri jeshi? Atakuwa amiri jeshi gani mkuu ambaye hata kukimbia hawezi? Mguu haukunjuki?
Ila mungu wa chato siku zote anatema point?Lisu ni kasuku sana. Anazungumza bila kushirikisha ubongo....
Atueleze uzuri wa mifumo ya uganda na Kenya kwanza.
Anavibeza vyombo vya ulinzi na usalama na watumishi ilihali anasaka madaraka.
Huyu ni wa kuogopwa kuliko Bokassa
Huyo wa kwenu anaugua akili, mwili na roho pia nyie wafuasi wake ndo maiti zinazotembea kabisaLisu anaugua akili.
Wafuasi wake wana hali mbaya kuliko yeye
Ni muujiza basiHuyo wa kwenu anaugua akili, mwili na roho pia nyie wafuasi wake ndo maiti zinazotembea kabisa
Nunua basi hata kiradio kidogo uwe unasikiliza habari maana kila leo yanaandikwa mbona au ndo vocha hadi ukope hadi unaitwa denis sababu ya madeni ya mtandaoDebe tupu!
Sema watanzania utawafanyia nini?
Thread inamhusu Lisu.Ila mungu wa chato siku zote anatema point?
Kwani yeye ndo anaposti hizo picha waulizeni hao walopostMbona hajajibu swali la pili, kwanini picha za nyomi la mikutano ya Lowasa 2015 linafanyiwa mazingaombwe hadi kujikuta watu walewale wanaoonekana kwenye picha na mazingira yale yale yanayoonekana kwenye picha yanaonekana tena kwenye mikutano yake?
Hii inatosha mkuu@Karibu Sana hivi huna picha nyingine ya kuitumia? Karibia mara ya hamsini unaitumia kwenye comment zako hapa!
ndo maana nikakuambia hapo awali huna ubongo umejaza samadi kichwaniAcha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
Ulikuwepo kwenye vikao vyao vya siri? Labda walijadili kumpisha maalim seif acha ukuda mkuuLisu kuna Uzi kichwani hauko sawa Ana mental dissorder anasahau Haraka Mno
Mfano Zanzibar CHADEMA ilimteua mgombea uraisi Zanzibar kupitia vikao Halali kabisa vya chadema Zanzibar na kamati kuu na mkutano mkuu taifa wa Chadema yeye kafika kule Zanzibar akaanza kumnadi mgombea wa ACT wazalendo Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!! Badala ya kumnadi wa kwake!! ALIYEPITISHWA N.A. CHADEMA
Makalio wewe kwa hiyo ukimtukana lisu tukukalie kimya kwenda hukoThread inamhusu Lisu.
Anzisha yako
Yanatukana matusi hayana jipya kama matapishi tuJibu murua sana ...maccm yakisoma hapa yatakuwa yanaruka na kukanyagana
Asema hujaona?Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
umepanic brotherAcha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
Shida sio pesa za kampeni wa Tz tunataka nafuu ya maisha irejee,Hakuna jipya Lissu hana pesa ya kampain analialia tu
OF COURSE HAKUNA MJINGA ANAYEKOSA MJINGA MWENZAKE.Maneno ya Lisu ni magumu na mazito mno kuyasikiliza!!Yanatia uchungu sana!!!!NAWAAHIDI MIMI NA FAMILIA YANGU NITAMPIGIA KURA!!!LAKINI BARABARANI SITOINGIA !!KAZI KWAKE KULINDA ASIIBIWE!!!!NAWASHAURI ASHIRIKIANE NA DIASPORA WAUNDE JESHI LA MSITUNI ILI WAJE NA OPERATION "OKOA DEMOKRASIA YETU" WAPAMBANE ILI WATANGAZWE WASHINDI!!!!!