Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Kazi ipo sipati picha.
 
Acha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
Kawaita wahariri kufanya kampeni?
 
Yawezekana Tundu Lissu 'kasahau' kuwa Media yote ya Tanzania na hasa hasa kupitia tu 'Wahariri' na 'Wamiliki' wapo Mfukoni mwa Dkt. H Abbas.
Swadaktaa, na hata maswali yaliyoulizwa yanaonyesha hivyo.
 
Mbona analalamika tu.
Chama kilipata ruzuku halafu unasema Hakuna pesa unataka kuchangiwa.

..CCM wanapokea ruzuku mara 4 ya ile wanayopata CDM.

..kwa hiyo CDM wana pengo la kufidia ili waweze kupambana na CCM.

..inabidi watu wachangie ili kuwawezesha CDM wapambane na CCM kisawasawa.
 
Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari.

Haya ni baadhi ya aliyoyasema:...
Naanza kukataa tamaa,kwanza lazima mfahamu kuwa Magufuli ana roho mbaya na hajari kitu chochote isipokuwa madaraka yake na maslahi yake mengine,

Magufuli hajari utu wa mtu mwingine,Sasa Kama kawaengua wagombea kihuni na mmeufyata,atashindwaje kuwanyima nakala za matokeo ya kura mawakala wenu na kutowatangaza wapinzania walioshinda?
 
Amejibu swali la lugha ya kiswahili au kiingereza. Anchosema eti yeye anajua kiingereza sana! Hicho anachoongea na kuandika ndo kiingereza kizuri 'sana?' Sana? Lissu? Halafu imsaidie nini ktk kuomba kura za wa-TZ?
Hoja ni mfumo wa elimu
 
Acha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
Athari za wimbo wa SGR, Flyover, JKHHP ndio hizi. Masikio yako yamezoea kusikia uongo ule ule,kutoka kwa watu wale wale. Endelea kushikiwa akili,wenye akili na fikra huru wanaelewa wanachosikia kutoka kwa Lissu the greatest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Majaji ni aibu kubwa sana aisee

..sio aibu.

..tuna tatizo ktk mfumo wetu wa elimu.

..na majaji ni product ya mfumo wetu ulioathirika.

..Kiswahili vs Kiingereza ni "mgogoro" mkubwa, na wenye athari mbaya sana, ktk mfumo wetu wa elimu.
 
Hahaha mods mgezuia wale vibaraka wa Bashiru UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA wasituchafulie hali ya hewa hapa.

Wao walitumwa kuleta majibu lakini wamekua wapotoshaji.
 
Hapo juu tu kasema mengi, tutarudisha uhusiano, mjadala wa lugha, nk halaf hapo hapo mtu anasema hasemi atafanya nini ?

Hizi akili za kutamba ndege au fly overs vijijini ambako watu wapo hoi ni akili za mende !!

Kama mpaka sasa hujawahi kusikia atafanya nini basi we haupo Tanzania au kichwani hamna ubongo kumejaa samadi
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Siku moja nenda kwenye mkutano wake utarudi ukiwa na mtizamo mwingine
 
Lisu atapigwa mchana kweupe
 
Lisu kakata tamaa
 
..CCM wanapokea ruzuku mara 4 ya ile wanayopata CDM.

..kwa hiyo CDM wana pengo la kufidia ili waweze kupambana na CCM.

..inabidi watu wachangie ili kuwawezesha CDM wapambane na CCM kisawasawa.
Huu uchaguzi ni kati ya vyama vya upinzani hasa CDM na ACT dhidi ya dola inayotumia kivuli cha CCM.
 
Pesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sana

Na alichoona ya Mwanza ya Magufuli kajiona hamna kitu
Ya Mwanza ya mkutano wa Magufuli ulikuwa usanii mtupu.

Zaidi ya 60% ya waliohudhuria walikuwa wanafunzi. Na kama 20% walikuwa wananzengo waliosumbwa kwa malori. Watu wa mjini Mwanza, wengi wao hawakuwa na habari na huo mkutano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…