godfrey kibaha
Member
- Jan 6, 2015
- 10
- 2
Kazi ipo sipati picha.Campaign za mwaka zinaenda kidigitali maana magufuli anapigwa majukwaani alafu akianza kutoa povu anapigwa Kwa press conference.....
Huyu Mzee atachezea makofi ya uso kwelikweli na ameshaanza kucheza Ngoma ya lissu kuanzia yeye pamoja na akina bashiru na polepole