Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Kuna tetesi kwamba wajumbe wamepanga kutafuna hela za Mbowe na kisha kumtupa nje. Hivyo Mbowe kama ana akili angeachana na mawazo ya kuhonga maana atajikuta amepoteza vyote, yani hela na uenyekiti.Wajumbe walishahongwa huo ujumbe,,,kanda zote zinashikiliwa na wafuasi wa Mbowe,,,hapo Lissu anatoboaje sasa
Wajumbe moyoni wapo na Lisu na machoni wapo na mbowe na kura watapiga kwa lisu lakini kamati itaiba kura kwa wingi na kumweka mbowe kwa njia haramu za uchakachuajiWajumbe walishahongwa huo ujumbe,,,kanda zote zinashikiliwa na wafuasi wa Mbowe,,,hapo Lissu anatoboaje sasa
Akithubutu kufanya hivyo patachimbika, sijui kama Lisu na team yake watakubali kinyonge hilo lifanyike.Chawa wakiongozwa na Boniface sugu Wenje na Mdee ndiyo wataiba kura uchakachuaji kumsimika mbowe kwa njia haramu
Mbowe tayari kawapa pesa nyingi wale wabunge 19 wasambaze kila kona ya Nchi kama ni pesa zake kuliwa basi zimeliwa na zinaendelea kuliwa na kura wataiba piaKuna tetesi kwamba wajumbe wamepanga kutafuna hela za Mbowe na kisha kumtupa nje. Hivyo Mbowe kama ana akili angeachana na mawazo ya kuhonga maana atajikuta amepoteza vyote, yani hela na uenyekiti.
Endapo Lisu akiamua kuwa mkali pindi kaporwa ushindi kiharamu lazima Chadema itapasuka vipande na kudhoofika kama TLP NCCR mageuzi CUFAkithubutu kufanya hivyo patachimbika, sijui kama Lisu na team yake watakubali kinyonge hilo lifanyike.
Hata Mbowe akishinda, bado haweza kupandisha hamasa ya wafuasi wa cdm, sana sana ataifanya cdm ikose hamasa. Hakuna kitu kizuri kama kukubaliana na mabadiliko ya nyakati. Ili cdm ibaki na kuongeza hamasa yake kwa umma, Tundu Lisu hakwepeki kwa sasa.Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
Lucas Mwashambwa leo hii anashirikiana na Erythrocyte kumpambania Mbowe awe mwenyekiti wa CDM 🤣🤣
Naam , ahame tutamwunga mkono amethibitisha kwamba ndiye mtu sahihi wa kupgania mageuzi sio CHADEMA ya Mbowechama ni wanachama, kama Lisu amepigiwa kura na watu 10,204 wasio wanachama wa chadema, ana mtaji mkubwa wa wanachama, why keep fighting with people within the party while you have such a support? form your own party..or join any established party having such sufficient capital! hata asisumbuke kugombea..Lisu ahame chadema!
Kwahiyo hata magoli hayo yawe yamefungwa na Refarii??Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi
Watu timamu hawaandaliwi kwa vipande vya fedha wanajiandaa kwa kutenda mambo yao kwa usahihi ili wakubalike kwa wapiga kura siku wakitoa sera zao.Huyo Mbowe kama aliwaandaa wapiga kura basi si mwanademokrasia wa kweli.Mimi nimetoa analysis yangu jinsi mbowe anavyoenda kushinda,,,Lissu hakujiandaa na huu uchaguzi
Mkuu, tupambane humu humu kwanza na endapo watatushinda kwa fix basi tutahamia CHAUMAExactly! Ni heri tuhamie hata CHAUMA. Kuliko kutawaliwa kwenye chama na mtemi/mfalme
Nani amshinde Nkulunziza?🤨Nafikiri Mbowe anaweza kumshinda Lisu kwa wizi
Yes Mbowe ana wajumbe wengi, Acha wamchague alafu tuone watamuongoza nani. Trust me wengi sana tutaondoka ataongoza wahuni wenzake wachache tu kama ilivyo Lipumba.Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
Mkuu, unafahamu kupe hua anatambua kuwa mg'ombe ame kufa pale ngozi inapo wambwa motoni.Hata Mbowe akishinda, bado haweza kupandisha hamasa ya wafuasi wa cdm, sana sana ataifanya cdm ikose hamasa. Hakuna kitu kizuri kama kukubaliana na mabadiliko ya nyakati. Ili cdm ibaki na kuongeza hamasa yake kwa umma, Tundu Lisu hakwepeki kwa sasa.