Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Wajumbe walishahongwa huo ujumbe,,,kanda zote zinashikiliwa na wafuasi wa Mbowe,,,hapo Lissu anatoboaje sasa
Kuna tetesi kwamba wajumbe wamepanga kutafuna hela za Mbowe na kisha kumtupa nje. Hivyo Mbowe kama ana akili angeachana na mawazo ya kuhonga maana atajikuta amepoteza vyote, yani hela na uenyekiti.
 
Chawa wakiongozwa na Boniface sugu Wenje na Mdee ndiyo wataiba kura uchakachuaji kumsimika mbowe kwa njia haramu
Akithubutu kufanya hivyo patachimbika, sijui kama Lisu na team yake watakubali kinyonge hilo lifanyike.
 
Kuna tetesi kwamba wajumbe wamepanga kutafuna hela za Mbowe na kisha kumtupa nje. Hivyo Mbowe kama ana akili angeachana na mawazo ya kuhonga maana atajikuta amepoteza vyote, yani hela na uenyekiti.
Mbowe tayari kawapa pesa nyingi wale wabunge 19 wasambaze kila kona ya Nchi kama ni pesa zake kuliwa basi zimeliwa na zinaendelea kuliwa na kura wataiba pia
 
Akithubutu kufanya hivyo patachimbika, sijui kama Lisu na team yake watakubali kinyonge hilo lifanyike.
Endapo Lisu akiamua kuwa mkali pindi kaporwa ushindi kiharamu lazima Chadema itapasuka vipande na kudhoofika kama TLP NCCR mageuzi CUF
 
Mbowe anatumia nguvu kubwa pesa nyingi gharama kubwa Asalie madarakani afiche Siri za ufisadi wake kwa pesa za chama
 
Ni vyema chama kiwe kinakaa na kufanya vikao vya mara kwa mara vya uongozi wa juu mara inapotokea mifarakano. Ni aibu Kila mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ukawa na makandokando Kama haya.
Mwaka huu ni wazi wananchi na hata baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wanamuhitaji TAL ktk nafasi ya Uwenyekiti.
Itakua ni Wenda wazimu kupuuza maoni ya wananchi ambao baadae watakuja kuwaomba kura.
CHADEMA MNAPASWA KUSIKILIZA WANANCHI, MENGINEYO MALIZENI WENYEWE NDANI YA CHAMA.
 
Kwanini ilikuwa rahisi kumpisha Lowasa agombee na wakatumia nguvu kubwa kumsafisha Lowasa
,Kwa nini sasa hivi ni ngumu kumpisha Lisu agombee.
Kama ikitokea Mbowe ameshinda atawezaje kuwaaminisha jamii kuwa hakutumia cheo chake kusalia kwenye kiti.
Kwanini Mbowa asingekubali kuwa makamu akamuacha Lisu anayekubalika na wengi jamii agombee kama alivyomuachia Lowasa kipindi kile.
 
Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
Hata Mbowe akishinda, bado haweza kupandisha hamasa ya wafuasi wa cdm, sana sana ataifanya cdm ikose hamasa. Hakuna kitu kizuri kama kukubaliana na mabadiliko ya nyakati. Ili cdm ibaki na kuongeza hamasa yake kwa umma, Tundu Lisu hakwepeki kwa sasa.
 
Lucas Mwashambwa leo hii anashirikiana na Erythrocyte kumpambania Mbowe awe mwenyekiti wa CDM 🤣🤣
Screenshot_20241223_172722.jpg
 
chama ni wanachama, kama Lisu amepigiwa kura na watu 10,204 wasio wanachama wa chadema, ana mtaji mkubwa wa wanachama, why keep fighting with people within the party while you have such a support? form your own party..or join any established party having such sufficient capital! hata asisumbuke kugombea..Lisu ahame chadema!
Naam , ahame tutamwunga mkono amethibitisha kwamba ndiye mtu sahihi wa kupgania mageuzi sio CHADEMA ya Mbowe
 
Mimi nimetoa analysis yangu jinsi mbowe anavyoenda kushinda,,,Lissu hakujiandaa na huu uchaguzi
Watu timamu hawaandaliwi kwa vipande vya fedha wanajiandaa kwa kutenda mambo yao kwa usahihi ili wakubalike kwa wapiga kura siku wakitoa sera zao.Huyo Mbowe kama aliwaandaa wapiga kura basi si mwanademokrasia wa kweli.
 
Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
Yes Mbowe ana wajumbe wengi, Acha wamchague alafu tuone watamuongoza nani. Trust me wengi sana tutaondoka ataongoza wahuni wenzake wachache tu kama ilivyo Lipumba.
 
Hata Mbowe akishinda, bado haweza kupandisha hamasa ya wafuasi wa cdm, sana sana ataifanya cdm ikose hamasa. Hakuna kitu kizuri kama kukubaliana na mabadiliko ya nyakati. Ili cdm ibaki na kuongeza hamasa yake kwa umma, Tundu Lisu hakwepeki kwa sasa.
Mkuu, unafahamu kupe hua anatambua kuwa mg'ombe ame kufa pale ngozi inapo wambwa motoni.
 
Back
Top Bottom