Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Punguza jazba na wivu Mkuu.
 
Kwa hiyo mnaandaa risasi zingine upya!!
 
Waziri wa propaganda
 

Corona na mikusanyiko vipi. Maana anaizungumzia sana, je anachukua tahadhari!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe kapiga nyomi kwao ngoja magufuli na yeye aende uko uone ndio utaona nguvu ya mzee wetu mpendwa alafu picha mbona hamtumi au mnasubir mu edit pia mkumbuke Kuna watu walideki lami na bado wakapigwa mtungo
 
Magufuli aende kwao mara ngapi c alifanya kampeni miaka5 na wameshamkinai hana jipya,ngoja Lisu aende huko kwao uone
 
CCM mwaka huu wana kazi ya ziada!!
Kwani kurudi chato ni kazi ngumu mbona Kuna chato airport labda Sheria ya uchaguzi iseme ukishindwa urais Rudi kwenu ya mguu itakuwa kazi ya ziada kwa mchato wao
 
Shukrani za pekee ziifikie Serikali kwa kufanya uungwana wa kuwaruhusu na kuwalinda watu katika kukufanya mikutano ya amani kama hii,
Hakika Serikali ikiendelea na utaratibu huu wa kuwalinda wanaofanya mikutano ya amani, vurugu, mauaji na kuumiza watu hakutatokea kamwe.
Serikali itapata heshima kubwa ndani na nje ya Inchi.
Hii ndiyo Demokrasia halisi.
Hatutaki kusikia tena mtu amepigwa risasi na watu wasio julikana.
 
Tambua kuwa Lowasa hakushindwa bali alitekeleza makubaliano yao ya kuhakikisha CCM inaendelea kutawala kwa kujifanya kukubali matokeo ambayo kiuhalisia alikuwa ameshinda na ndio maana zoezi la kuhesabu kura lilikuwa ni la ajabu ajabu kama ulifuatilia vizuri.
 
..kwa kweli idara ya habari ya CDM imesinzia.

..tukio la kihistoria kama hili wanashindwa kulirusha?
 
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
 
..kwa kweli idara ya habari ya CDM imesinzia.

..tukio la kihistoria kama hili wanashindwa kulirusha?
Kuna mabadiriko makubwa sana na ya haraka yanatakiwa yafanyike kitengo cha Habari Chadema. Mtaaani hakulaliki hapakaliki watu wanataka habari za Lissu alafu wao wanalala. Hapana wanatakiwa wabadirike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…