Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Umeona mapokezi ya membe na Maalim seif huko Zanzibar?. Yale ndio mapokezi ya mgombea urais. Haya ya kwenu ni kikao cha familia.
Tumia akili kidogo ...idadi ya watu Kijiji Cha Ikungi na Manispaa ya Zanzibar unaijua!
 
Tunampa pole popote pale alipo.
Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu na amjalie hekma, busara na maarifa zaidi
 
Walioshiri ile damu yake iliyomwagika haitawaacha salama ....hqkika nakuambia damu haitawaacha salama !! Ni muda tu
 
Huu ni muujiza unaotembea na unaoishi. Go our living president, our next president from October 2020!!
 
Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Wakati huo Magufuli hakuwa na nguvu kisiasa kama Lowassa. Isitoshe upinzani ulijiunga na kuweka mgombea Urais mmoja.
 
Lissu asisitizwa wananchi wasikusanyike na wavae barakoa bana. Mbona CHADEMA WASANII WA KISIASA SANA NYINYI
 
Aisee CDM mnachekesha sana hiyo ndiyo kifalume ??? na ACT wasemeje ?
 
Unataka kutuaminisha kuwa hawa tunaowaona wakimpokea Mh.Lissu kwa machozi ni wapiga kura wa CCM? Mnachekesha hadi raha,mbona hakupokelewa na kina Polepole?
 
Hakika huu mwamba unapendeka kisawasawa! Hii ni baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais na kuamua kurudi nyumbani kusalimia.
Mungu ni mkubwa mno.

[emoji16] People's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…