Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Aisee CDM mnachekesha sana hiyo ndiyo kifalume ??? na ACT wasemeje ?
Population in Rural areas can't resemble with the one in Urban areas.

Ngumbaru wewe.
tapatalk_1585594105790.jpg
tapatalk_1591632780104.jpg
 
Kwani wale waliokuwa wakipiga deki barabara walikuwa wapiga kura wa lowasa au sio wapiga kura wake? Unajua jiji la dar Lina wakazi milioni ngapi? Wewe unaona hao waliompokea lisu wasiofika elfu mbili mpaka uone ndio kamaliza tayari!!!!
Hueleweki
 
Mbona video haiko vizuri tunaona paa la nyumba au mimi ndio sioni?
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo...
CHADEMA ni kusudio la Mungu kumleta hapa duniani ili aje atukomboe sisi Watanzania
 
Sasa Kama jimboni kwake watu waliojitokeza ni wachache kiasi hiki, halafu bado ana matumaini ya kushinda.

Yaani CDM kwa propaganda za uongo mko vizuri hayo ndiyo mapokezi ya kifalume aseee , waliopata mapokezi ya kifalume ni ACT kule Zanzibar.

Lisu anapendwa na watanzania wote kama ni kawaida mbona media zinakatazwa kuonesha misafara yake
 
Back
Top Bottom