Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Sisi wengine tunaendelea kula shule kwa ada ya bundle tu! Tupo tu! 😄Kwenda kwa DCI kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote lazima polisi akuambie anakuitia kosa gani. Ile barua imesema kuna kosa? ……”
Hakika ✔️ ingawa LISSU amekua chukizo kwa walinda legacy and co.Tungekuwa na watu kama Lisu 50 Tanzania ingekuwa mbali sn
"Niende polisi kufanya nini?", TUNDU LISSU.Akihojiwa na Jambo TV online makamu mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Tundu Lissu alisema haya bila kupepesa macho wala kumungunya maneno
akikujibu uniambie mkuuJibu hoja, wewe unaumri Gani? Lengo ni kutaka kulinganisha huo umri na michango unayotoa humu jukwaani
Umeandika nini hapo☝️☝️☝️?That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Umeandika nini hapo☝️☝️☝️?
Pumbavu kabisa wewe!.... Yaani wewe unawaza siasa tu pasipo kushughulisha kichwa chako ili kukiwezesha kuwa na reasoning..
Police ni taasisi inayotekeleza wajibu mara zote Kwa kuzingatia sheria na siyo siasa (politics)..
They have to be familiar and competent in legal matters when enforcing law towards citizens..
Kwa hiyo ulipaswa kumsifu na kumshukuru Tundu Lissu kuwa anawafundisha polisi kuwa professional katika kutekeleza wajibu wao wa kisheria..
Lakini usivyo na uelewa na ufahamu umei - tafsiri hoja kwa uelekeo wa unachowaza wewe masaa yote.......SIASA..
By the way, soma hii 👇👇👇👇barua ya Kingai - polisi wako. Je, inataja kosa lolote?
View attachment 2700032
Fanya hii H/W Kisha Rudi unipe jibu..
Ukimaliza hiyo soma na hii 👇👇ujiongezee ufahamu mbugira wa sheria wewe!!
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...www.jamiiforums.com
Anajimwabafai.
Basi hujazijua haki zako za msingi.naenda kuitikia wito kwasababu najijua sina hatia
sawaBasi hujazijua haki zako za msingi.
Polisi akikumata anapaswa akueleze sababu za kukukamata na pia anatakiwa akuoneshe utambulisho wake rasmi kabla ya mahojiano yako na yeye.
Apingwe pingu kwa ajili gani ewe Shehe Mruma?Ilikuwa Apigwe pingu pale JNIA akapata taarifa na kudmba huruma aende mwenyewe sasa kama hajaenda asimlaumu Kingai
cc: Kindiki
Huyu Kingai sindo yule aliwakamata makomandoo wa Mbowe Moshi kina Adamoo halafu akafika Himo akawanunulia chips kuku na energy?Hili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
Peleka ujinga wako huko, kenge wewe!Ilikuwa Apigwe pingu pale JNIA akapata taarifa na kudmba huruma aende mwenyewe sasa kama hajaenda asimlaumu Kingai
cc: Kindiki
Umesema kweli sana! Matanzania mengi ni majinga Sana!Polisi kama wanamwita mtu kwenda kumhoji basi ni vema wakamweleza wanayeenda kumhoji, watamhoji kitu gani ili anayeenda kuhojiwa aweze kujiandaa kwa kile anachoenda kuhojiwa, ikibidi aende hata na vielelezo.
Hatutakiwi kuishi kwa kuviziana bali kwa kutendeana haki.
Kupitia baadhi ya matamshi yake lissu yapo hadharani anastahili kuhojiwa,zipo KAULI ambazo alizitoa ambazo ni za kufedhehesha,kutweza,kuvunjia heshima viongozi wa kitaifa,zipo za kuhatarisha Amani na umoja na uchochezi pia,asiogopwe hata kidogo!Hili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
Akamtwe tu kama v9pi. Hakuna namna.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya.
Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda.
“Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote lazima polisi akuambie anakuitia kosa gani. Ile barua imesema kuna kosa? ……”
Baada ya kutoa kauli hii Lissu aliondoka. Kauli hii inatoa tafsiri kuwa Mwanasheria huyo nguli hatokwenda ofisi ya DCI iliyompa wito wa kufanya naye mahojiano kufuatia matamshi aliyotoa kama alivyonukuliwa akisema kauli za Rais ni matope.
Pia soma: Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili
Ndiyo hivyo huwezi kupendwa na watu woteHakika ✔️ ingawa LISSU amekua chukizo kwa walinda legacy and co.
Mama ni nani?Mama endelea kuwachekea hawa uone kama nchi itatawalika. Unaitwa na mamlaka unaleta dharau hiiiiiii.
Kwahiyo unajifanya huwajui polisi wa Tanzania? Au unaishi nje ya nchi?That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Mwanasiasa makini, mzalendo, raia mwema na asie na hatia anaitikia wito bila kusita wala kuhoji content ya wito. Kisha atakataa neno ikiwa halimuhusu na kuwashauri wahusika vinginevyo, basi hivyo hivyo tu.
This will paint him negatively kwamba how come mtu asietii wito wa dola anapewa mamlaka?
Ndio maana unakuta kiongozi wa upinzani anaweza kushinda uchaguzi but akapokwa ushindi wake au kugomewa kupewa mamlaka na vyombo vya dola ikiwa ni pamoja na polisi, Jeshi, Mahakama, TIS n.k kwasababu tu alividharau nyakati mbalimbali huko nyuma. Thus why kwa tz Mbowe anaaminika zaidi na dola kuliko mwanasiasa mwingine wa upinzani Tz. huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.