Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Mleta mada anakusema wewe, unamsaidia nini Lissu kwa kukaa gerezani zaidi ya kushabikia tonetone upate kula?

hao jamaa wapo nyuma ya keyboad kazi yao matusi tu lakini penye makweli hata kidole hakichomozi
 
Alikwambia anateseka mkuu??kinachowapanikisha ni kuona mtu aliyeko gerezani ana furaha na nuru kuliko wale wenye madaraka na bunduki.
 

unafananisha TZ na libya? Gaddafia lipigwa na mabeberu na sio wale wabengazi.
 

..ningekuelewa kama ungewashauri wenye mamlaka kwamba TL hana madhara hivyo waache kumtesa.
 
Kuanzia July utaelewa vizuri Lissu na agenda zake zinaungwa mkono na watu gani pengine hata usiowahi kuwategemea na ndio upepo wa kisiasa unapoenda kubadilika kuanzia hapo.
 
Kwa machozi aliyokua analia jana mahakamani inaonekana sindano imegusa mfupa
 
Mtu mnamshtaki kesi ya uhaini.Lissu mnataka kumnyonga halafu wewe MSHANGAZI CHURA KIZIWI unataka ajisalimishe, mtuhumiwa wa kesi ya uhaini tayari mlishamhukumu na kumweka sero za wanaosubiri kunyongwa kabla ya hukumu ya mahakama.
Mtuhumiwa ambaye anafundisha sheria mahakamani Kisutu kwa wanasheria wa serikali nyiye mnateka kumnyonga mpaka afe.
 
Kuna wakati huwa unageuka na kuwa "BWEGE" kabisa! Leo hata u-bwege una nafuu.

Uliwahi kuona wapi popote duniani watu wote wakawa mabwege, kama hivi unavyo amini hapa!

Hata sielewi leo umeamka akilini kumejaa gongo!

Sasa wewe unataka "ajisalimishe ili iweje?

Wewe unadhani alipo shindiliwa zile risasi mwilini mwake, na bado ikashindikana kujisalimisha, hilo ni jambo la kwaida tu kwako?

Fanya hivi: Nenda kajisalimishe kwa niaba yake.
 
Ajisalimishe kivipi
 
Aung San Suu Kyi amekaa magereza kwa zaidi ya miaka 15 na mpaka sasa bado yuko magereza.
 
Ipo siku utanielewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…