Na mbaya zaidi, huyu anatowa ushauri wa kilofa kabisa wakati 'critical' kabisa kwa Tanzania!Watu hawapambaniwi siku moja, elewa.Industrial revolution ya Ulaya,Mapinduzi ya China/Russia na hata vita vya America kwa mfano tu,jitihada hazikuzaa matunda kwa siku moja.Sehemu nyingine ilikuwa miongo,karne hadi karne.
Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.Na mbaya zaidi, huyu anatowa ushauri wa kilofa kabisa wakati 'critical' kabisa kwa Tanzania!
Ameambiwa kuwa Tundu Lissu kuwa gerezani ndio mwisho wa mapambano?
Haoni watu wanaendelea kupambana huku nje kila siku; wakiunga juhudi zilezile anazopambania Tundu Lissu?
Sasa yeye anataka Tundu Lissu ajisalimishe, na asalimishe juhudi zote hizi zinazoendelea sasa!
Kuwa gerezani ni sehemu ya mapambano. ANC hawakuacha mapambanona kumlilia Mandela ajisalimishe!
Leo umeamka vibaya sana mkuu 'Yoda'!Ipo siku utanielewa vizuri.
Sasa wewe unatakaje!Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Kwa hiyo ni lazima mbinu za ANC(the old fashioned tactics)zitumike leo hii?Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Huyo leo kaamka anaumwa baridi yabisi kichwani.Sasa wewe unatakaje!
Tundu Lissu "kujisalimisha" ndiko kutakakoleta hayo ya ANC hapa ghafla!
Unataka ajisalimishe, halafu iweje. Huelezi?
..ningekuelewa kama ungewashauri wenye mamlaka kwamba TL hana madhara hivyo waache kumtesa.
Kuna jambo lisilo la kawaida limemkuta.Huyo leo kaamka anaumwa baridi yabisi kichwani.
Mkuu, watu kama hawa ndio wale ambao mambo yakienda vizuri, huwa wa kwanza kusema "hata mimi nilijua atafanikiwa" wakati alikuwa mramba asili mzuri tu.Maneno haya ungemshauri mandela wakati ule ungeuliwa sekunde tu.
Mwacheni huenda tukaona Tanzania anayoiwaza
Ushauri wa kijinga kutoka kwa mjinga kwenda kwa mbeba maono!Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Wewe ni chawa wa hovyo sn!
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Mkuu, hata mbuyu ulianza kama MCHICHA. Usipende kudharau mambo wakati hujadanya utafiti wa jambo lenyewe.Soma vizuri mapambano ya ANC, jinsi nguvu ilivyochangiwa na ANC, Umkhonto we Sizwe (MK), Mataifa ya mstari wa mbele, USSR na hata baadaye Marekani, kufananisha hayo mapambano na haya ya Tz ni kituko cha karne, mbingu na ardhi.
Kama ndivyo, basi upeleke ili mambo yaishe.Nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha.
Mandela kakaa gerezani miaka mingapi kolo weweWatu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi walio tayari kupambania sambamba naye kwa vitendo kile anachopambania yeye.
Hakuna sababu ya kuendelea kushikilia huo msimamo na kutesekea gerezani wakati haitaleta utofauti wowote.
Suala sio kumfahamu, suala ni kwamba hakuna watu wenye spirit kama aliyonayo yeye.Ni lini umeanza kumfahamu Lissu?