Tundu Lissu ashauriwe ajisalimishe kwa serikali atoke magereza, anateseka bure tu

Acha ateseke hata Yesu aliteseka kwa ajili yetu
 
Hakuna mabadiliko yatakayopatikana Tanzania miaka ya karibuni bila ridhaa ya CCM, CCM kugawanyika au nguvu kubwa zaidi ya CCM, soma alama za nyakati wafahamu watu wa nchi yako vizuri.
Anaweza asisababishe yeye hayo mabadiliko lakini akaacha njia, ili wengine wamalizie. Najua safari ni ndefu sana, ila inawezekana. Akirudi nyuma safari itakua ndefu zaidi.
 
Wewe una undugu wowote na Lisu?
 
Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Inaonekana unadhani mabadiliko ni lazima yaletwe na watu wengi. Hujui kuwa mabadiliko pia huletwa na watu majisiri. Nyie ndio mlichangia Mbowe akawa mlamba asali kwa ushauri wa aina hii.
 
Sijategemea kama unaweza kuandika uzi w anamna hii, nilikuheshimu kama mpambanaji na mpinga dhulma hapa JF

I am disapointed
 
Tulia wewe chawa
 
Eti Mandela anataka kuwakomboa watanganyika, sijui inatawaliwa na nchi gani. Mazombie ni viumbe wa ajabu sn.
 
We jamaa vipi, mbona unakurupuka.

Ajisalimishe kwenye UNFAIR - Wote tumeona kilichoendelea mahakamani ni ubabaishaji ili siku zisonge.

Jamaa yuko tayari kwa lolote hata kunyongwa - Acha haki ipatikane.

Una roho ya uoga sana.
Nenda kamsaidie kunyea ndoo, yaani mwenzio anateseka we umeweka makalio yako hapo ulipo eti yuko tayari kwa lolote, kwanini ww usiwe tayari kufa? Km angekuwa tayari mbn mwaka 2020 alitorokea Ulaya kupitia ubalozi wa Ujerumani? Kadanganye wehu wenzio, Lissu sahv anajutia ht jana alikuwa anaongea akiwa amepanic, amekata tamaa. Akitoka this time hatarudia ujingaujinga
 
Hawatamnyonga kwa kamba ila watamnyonga kwa kuhakikisha anaozea gerezani huku watu wakiendelea na maisha mengine bila kujali.
Kwani watakuwepo madarakani milele?? Malipo ni hapa hapa duniani. Na Mungu atalipa kila kisasi.
 
We ni fala tu kama mafala wengine na utabaki kuwa fala.
 
Sio lazima kila mtu azungumzie mambo ya siasa, kama upeo wako ni mdogo kwenye mambo haya ni busara kukaa kimya kuliko kudhihirisha ujinga au ubwege wako kwenye mambo haya Mr Yoda
 
Inaonekana unadhani mabadiliko ni lazima yaletwe na watu wengi. Hujui kuwa mabadiliko pia huletwa na watu majisiri. Nyie ndio mlichangia Mbowe akawa mlamba asali kwa ushauri wa aina hii.
Hakuna mabadiliko nje ya CCM yatakayotekea kupitia raia mkuu kwa miaka ya hivi karibuni. Mabadiliko yanaweza kutokea ndani ya CCM na dola tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…