Hivi nani hasa walimuua huyu Mwamba? Seriously?na kweli jamii ya kisukuma haijui wauaji ni nani?
 
Dalili za mtu kufa ni pamoja na kutembea wafu sana...
 
ccm asanteni sana kwa kutuhabarisha.
 
Inapofika mahali kwa vitu sensitive vinavyohusisha maisha ya watu waliokufa mikononi mwenu jaribu kukaa kimya
 
Mlimuua kwa kumcharanga mashoka mchana kweupe, mkafanya fujo Bugando hospital alikotunzwa, mkafukua kaburi kisa bendera iliyosimikwa kaburini. Yoote haya ya nini ?!.

Maghufuli mliempigania kufa na kupona ili mkoa mzima wa Geita kusiweko upinzani , yuko wapi ?!. Fahari ya nini kama vitu na vyeo vyetu hatuendi navyo kokote ?!
 
Hawakujua jambo moja mungu hadhihakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…