Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo
Kwanza kwanini mlimuua Mawazo?! Jikite kwanza hapo.
kwa hiyo muuaji mnamfahamu na yuko uraiani, km issue ya bandari mnaweza kwenda mahakamani mmeshindwa nini kwa tukio hilo lenye ushahidi wa waiz kwenda mahakamani. Au bandari ni muhimu kuliko kifo cha huyo bwana?
 
Mauaji ni jinai na mwenye jukumu la kuendesha kesi ya jinai la Serikali. Sheria ya nchi iko very clear kwamba kwenye jinai anayeahitaki ni Jamhuri, mwingine awaye yote anakuwa shahidi tu. Sasa kama anayetakiwa kushitaki hataki kufanya upepelezi wengine watafanyaje? Bandari ni ufisadi ambapo kila raia anaweza akashitaki na hapa aliyefanya ufisadi inasadikika ni top govt officials.
 
Yule mtoto wamemsomesha kama walivyoahidi au ndio imekuwa fasheni ya kutembelea makaburi tu?
Unauliza maswali yasiyo ya msingi. Ungekuwa na utu na unathamini uhai wa binadamu mwenzako, angalao ungeuliza, ni sababu gani iliyomfanya msukuma apange na kufadhili mauaji ya Mawazo.

Msukuma atakuwa anajiaminisha ni mshindi kwa kumwua aliyeamini ni mshindani wake, lakini anajidanganya. Ni lazima kuna siku atalipa uovu wake.
 
Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom